Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Hivi unafikir unazi ni umasiki?[emoji23][emoji23][emoji23] unazi ni feeling. Watu wanamiliki. Haya mambo familia zao. Hutakaa uelewe hiyo feeling kwasababu si mnazi mkuu
Nimeshamjibu unazi ni kama vile yeye anavopenda ngono,pombe ila wengine hizi mambo za unazi wa ma Bus
 
Saibaba na majinjah nazo zina watu wake wajipigie makaofi
Dar-Kahama-Ushirombo-Runzewe- Bwanga-Katoro-Geita hapo kuna Mallessa's wako vizuri.

Hailali njiani. Saa 7 inakuwa ishatoboa Geita kutoka Dar.
 
Enzi tunajenga daraja la mtambaswala, na enzi ya kuvuka kwenda msumbiji kuiba dhahabu, mbao pori na pembe za ndovu na kutorosha korosho ya msumbiji kuingiza Tanzania kimagendo kwa bei ndogo
Duh! hzo mishe sio mchezo mkuu
 
Hamna gari pale ni gonga nyundo zile
Usiombe uingie kwenye anga zake, ni kama bwana pepsi
Dar - Mpanda halafu Dodoma mnafika saa 10,mpanda ni kesho yake
 

Mkifika Ndola pale petrol station kwa wasomali mnaelezwa kabisa mfunge chakula,
 
Aisee uko vizuri
 
Umemaliza Mkuu uzi ufungwe tu🤝
 
Duh watu mna ushabiki kwa kila kitu

Sio ushabiki tu ukumbuke Simbachawene alikuaga Konda wa basi Dodoma to kondoa enzi hizo anavaa shati mikono mifupi, ndani singlend ya njano halafu kafungua vifungo vya shati hacheki na mtu
 
Ulikua ukisikia giriki baba tembea dude linapumua chalinze, mikumi mnafumba macho, mnafumbua macho comfort hapo mmemaliza kitonga, goti linanyooshwa saa 10 au 11 dude linapumulia Uyole
 
Mambo yakabadilika zikaja Scandnavia hapo unasafiri kiafisa kabisa, zikaja Zainabus, Zikaja fazil mawese, zikaja Sumry hapo kiswele zishatutoka kichwani, tunasafiri mnaangalia TV kama wadosi,
 
Hapo tumewaachia wasafiri wa Iringa to Makete wanatamba na Mwafrika zao za akina Mjomba,
Yeah Mwafrika nhe!ohoooo Kwacha nayo hii kampuni ilinyanyasa sana,bila kusahau Safina (Mr.Mahenge na driver wake Yosso)hii bus ilikua majembe sana, but ukweli Dar to Mbeya ni 800km only, surely ni mwendo wa saa 10tu kwa bus, ila barabara zetu bado na zile tutas ndio ukenge mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…