Wale wapenda mabasi ya mikoani (wanazi) tukutane hapa

Huyo mwarabu

Kuna Lori la kuitwa mshikamano

Limemkalia kooni route ya Bariadi

Hapumui

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Wale waliowahi kusafiri na Kingcross Dodoma to Iringa kupitia mtera hivi wako wapi
Hapa hapa zile ndo mashine za kazi kazi kwanza lazima ubebe , viazi vya kuchemsha na maziwa mgando maana kufika ni majaliwa njia ile.
Ilaa mkitoboa mtera aah samaki bwelele wa kuchoma unabeba take away tu njiani popote mkikwama we una kitoweo.
Kuna Urafiki pia Leyland
 
Kwacha ilikua kiboko ile miscania mirefu km nyoka.
Tuko igawa ile Agiza chai na mayai na maandazi imekuja yamoto haswa puliza puliza hata sijamaliza chuma kinagonga honi nje tuondoke aah mi nasema ngoja nimwage kojo chooni foleni.
E bana natoka ngoma ileee inaanza kupepea nikaanza kula marathon.
Hizo kipindi usiongee abari ya boda hamna hata baskeli ni mikokoteni tu.
Zile mbio nilifyatua pale dere aliniona tu niko mbele yake napunga mkono akasimama.
Ndo nikazama mle ndani.
Sijui akili zao vp hawa madereva wa mikoani utaondoaje gari bila kuhakiki abiria wote wapo ndani?
Yaani unaona kabisa ile siti iko wazi ww huyo unatambaa.
Mwingine alileta mambo hayo juzi kati hapo msamvu aloo kidogo tuparangane.
Maana nashuka nimeaga kabisa lakini kaondoka.
Vitu kibao viko mle ndani aisee.
Safari ya bus sio adhabu ni leisure tu.
Mtu unaweza kupanda ndege, treni na ukaenda private ukitaka.
Ila sijui wanachukuliaje abiria
 
Ndola?

Ukielekea Lusaka?

Kutokea Kapiri?

Mbona hakuna uhusiano

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Always unaposoma comments jitahidi usome to understood, hii ya Ndola ni typing error, mimi nilimwelewa ,alimaanisha pale kapiri mposhi kwenye ile fuel garage kwenye pacha ya kwenda Lusaka (left),na Ndola (right )ukitokea mkushi, ile hotel bado ipo ingawa kwa sasa imeboreshwa zaidi, nilikua nakuona upo very smart kumbe ni wale wale, upo stupid
 

Kumbe wewe ulielewa vizuri kabisa
 
Kumbe wewe ulielewa vizuri kabisa
Yes mkuu all of us sometimes we make typing errors, ila unajua kuwa nini ulitaka kuandika na hii sio rocket science, comments za dot.com humu zimejaa kejeli mno, ndio maana hawawezi kuingia viwanja na wanalalama humu kuhusu viajira uchwara ,mimi angeniamkia kwa respect ni sawa ila kuweka emoji ya kucheka ,nimemwelewa maana yake, ni kejeli na hii kejeli ndio maana barabarani humu watanzania tunatupana maana tumejaa ushenzi, kaa mbali na mbongo hasa mkiwa nje ya nchi ni washenzi
 
Aisee

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Duh[emoji848]

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 

Arusha - Mbeya?
Arusha - Mwanza?
Mbeya - Mwanza?
Moshi - Mwanza?
Dodoma - Musoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…