Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

Hii ndio Ulisema unakunywaga ukiwa Wavuvi camp? Mwachiluwi
 
Attachments

  • Screenshot_20230306-055610_1.jpg
    Screenshot_20230306-055610_1.jpg
    57.2 KB · Views: 32
Mi nilijua nikinywaji tu Kama Novida
Sijafatilia
Niliachana na pombe naona shetani amenirudisha kwa nguvu

Ila yafaa nini kuishi bila kunywa [emoji1787][emoji1787]

Sema ujicontrol tu pombe isikutawale yaani unakua na addiction hadi unashindwa mambo mengine kama kuzingatia hata usafi, ukiacha pombe unakua mpweke sana na unaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa
 
Sema ujicontrol tu pombe isikutawale yaani unakua na addiction hadi unashindwa mambo mengine kama kuzingatia hata usafi, ukiacha pombe unakua mpweke sana na unaweza kufanya mambo ya ajabu kabisa

Mara nyingi nakunywa siku weekend weekdays mzigo upo ndani naishia kuuangalia tu na kufuta futa kabati[emoji28]
Mwenzangu ndo anaweza kuamka na glass moja ya kuchangamsha siku,
 
Back
Top Bottom