Kwa yule wa Arusha, ajaribu kuuliza maduka ya vipodozi ukiwa unatoka FLORIDA uaelekea standi kuu, mkono wa kusho kuna bookshop na duka vipodozi , unawezaapata hapo. Pia jaribu pale USA RIVER jirani na HIGH WAY BAR, KUNA DUKA LIKO KWENYE KONA KABISA, HAPO UTAPATA AINA ZOTE. Ukikosa, nedha maduka yaliyo stendi ndogo ukiuliza upata, kikubwa uwe na jina la perfume unayaotaka kununua , na pengien imetengenezwa nchi gani. (UK, FRANCE, CHINA). Ni kama wine (zipo za TZ, AFRIKA KUSINI, FRANCE). Kwa hiyo, kuwa makini achan na wale wanaouza mitaani.