Ishu sio kula pamoja. Unakula pamoja na nan? Kuna watu usafi ni sifuri.
1_ Mtu anatoka Chooni ananawa juu juu tu unamuona kabisa, alafu huyo anaanza kula na wewe hapo.
2_ Mwingine anakula alafu nyama ikibak ktk meno anatoa na mkono alafu anaendelea.
3_Mwingine hasa ktk hizi mboga zenye michuzi michuzi.. anakata tongea la ugali anaenda kuchovya ktk mboga mpk ugali unakatikia humo.
4_Mwingine anakomba mboga alafu analamba vidole.
5_Mwingine anakomba mboga inayobaki ktk vidole anafanya kama anakung'utia humo yaana kama mtu aliyekuwa ananawa mikono sasa anakusha maji.
6_Mwingine sasa mikono au vidole vina michuzi, huyu atakata ugali upande wake atakuja kukata ugali upande wako. Sasa unakuta ugali umepakw pakwe michuzi tupu.
Kuna upumbavu mwingi katika kula pamoja.
mimi siafiki wala sikubaliani na huo utamaduni.
Ndio maana kipindupindu kikiingia ktk hizi jamii wanakufa kama Nzi.