Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Nashukuru kujuwa hili.Kwa nchi za asia kama china na india kula pamoja kunazingatiwa sana
...Ndio wakati wa kurekebishwa na familia!Kula kwa pamoja wengine wanatia kinyaa wachafu, mtu anatafuna chakula chote kinaonekana km mbuzi [emoji2961][emoji2961]
Sio lazima mle kwa pamoja kwa kushare sahani ndo umrekebishe mtu, unaweza ukampa chakula mtoto na ukamfundisha jinsi ya kula kwa ustaarabu....Ndio wakati wa kurekebishwa na familia!
Labda kama mlikuwa hamli pamoja Toka utotoni ! [emoji848]...
Kamalizie story bhana.Ishu sio kula pamoja. Unakula pamoja na nan? Kuna watu usafi ni sifuri.
1_ Mtu anatoka Chooni ananawa juu juu tu unamuona kabisa, alafu huyo anaanza kula na wewe hapo.
2_ Mwingine anakula alafu nyama ikibak ktk meno anatoa na mkono alafu anaendelea.
3_Mwingine hasa ktk hizi mboga zenye michuzi michuzi.. anakata tongea la ugali anaenda kuchovya ktk mboga mpk ugali unakatikia humo.
4_Mwingine anakomba mboga alafu analamba vidole.
5_Mwingine anakomba mboga inayobaki ktk vidole anafanya kama anakung'utia humo yaana kama mtu aliyekuwa ananawa mikono sasa anakusha maji.
6_Mwingine sasa mikono au vidole vina michuzi, huyu atakata ugali upande wake atakuja kukata ugali upande wako. Sasa unakuta ugali umepakw pakwe michuzi tupu.
Kuna upumbavu mwingi katika kula pamoja.
mimi siafiki wala sikubaliani na huo utamaduni.
Ndio maana kipindupindu kikiingia ktk hizi jamii wanakufa kama Nzi.
Eh.... ngj niandike subir kama dk 20 itakuw tayr.. hahahKamalizie story bhana.
Mimi ni utaratibu wangu siku zoteAnza kwenye familia yako
Heeh!Ishu sio kula pamoja. Unakula pamoja na nan? Kuna watu usafi ni sifuri.
1_ Mtu anatoka Chooni ananawa juu juu tu unamuona kabisa, alafu huyo anaanza kula na wewe hapo.
2_ Mwingine anakula alafu nyama ikibak ktk meno anatoa na mkono alafu anaendelea.
3_Mwingine hasa ktk hizi mboga zenye michuzi michuzi.. anakata tonge la ugali anaenda kuchovya ktk mboga mpk ugali unakatikia humo.
4_Mwingine anakomba mboga alafu analamba vidole.
5_Mwingine anakomba mboga inayobaki ktk vidole anafanya kama anakung'utia humo yaan kama mtu aliyekuwa ananawa mikono sasa anakausha maji.
6_Mwingine sasa mikono au vidole vina michuzi, huyu atakata ugali upande wake atakuja kukata ugali upande wako. Sasa unakuta ugali umepakwa pakwa michuzi tupu.
Kuna upumbavu mwingi katika kula pamoja.
mimi siafiki wala sikubaliani na huo utamaduni.
Ndio maana kipindupindu kikiingia ktk hizi jamii wanakufa kama Nzi.
Hapa ndipo kosa lilipo anzia kwa wazazi wenu kuto kuwafundisha tabia njema na nidhamu wakati wa kula.Kula kwa pamoja wengine wanatia kinyaa wachafu, mtu anatafuna chakula chote kinaonekana km mbuzi 🤮🤮
Babu tulia emu kwanza. 🤣🤣🤣Hapa ndipo kosa lilipo anzia kwa wazazi wenu kuto kuwafundisha tabia njema na nidhamu wakati wa kula.
Hicho unayo iona leo ni matokeo ya zazazi ama walezi wako kukufundishia hiyo mbuzi