Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.
Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.
Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.
Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.