Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.

Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?

Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.

Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.

Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.

Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Vipi wale wa ozone layer unaweza sema dunia inaisha kesho
 
Acha ubishi Kuna mambo mengi yanatosababisha baridi kwasasa

1.kuanzia mwezi June Hadi august duniani inakua mbali na Jua ( aphelion)

2. Mabadilko ya tabia ya nchi yanayotokana na uharibifu wa mazngira
Mimi nikujibu kipande kidogo tu Cha comment yako hicho Cha miti kuhifadhi oxygen.

Hayo mengine sina ubishani nayo
 
1752130045852.jpg
 
Aaaa

Jangwani mchana kunakua na joto sana hilo tunakubaliana...

Lakini inapofika usiku joto linapotea kabisa hi kutokana na usiku jangwani kunakua hakuna mawingu...

mawingu kazi yake ni ku reflect joto au kama blanket hv so kama hakuna mawingu ninsawa na jangwa kuwa uchiiiii

HApo ndo bardi linaanza sasa
Kwanini jangwani hakuna mawingu ?
 
Aaaa

Jangwani mchana kunakua na joto sana hilo tunakubaliana...

Lakini inapofika usiku joto linapotea kabisa hi kutokana na usiku jangwani kunakua hakuna mawingu...

mawingu kazi yake ni ku reflect joto au kama blanket hv so kama hakuna mawingu ninsawa na jangwa kuwa uchiiiii

HApo ndo bardi linaanza sasa
Kwanini jangwani hakuna mawingu ?
 
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.

Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?

Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.

Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.

Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.

Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Mkuu jitahidi kuna unrelate concepts mbalimbali, usisome vitu in isolation. Hukusoma hata global warming na athari zake?
 
Leo umekuwa serious, i like that 😄
Halafu nimekumiss uko very "aphelion"🤣
I need you perihelion 🤣
Haa haaa inabidi kuwa serious maana watu wanapenda sana kujitoa ufahamu. Mtu na akili zake anakomaa kabisa kuwa unpredictable weather patterns siyo matokeo ya mabadiliko ya tabia nchi bali ni utapeli, kweli?


July hii so lazima niwe aphelion 🤣 nakuorbit polepole my kaka we tulia hapo hapo nitasogea tu 😂
 
Kwanini jangwani hakuna mawingu ?
Aaaah oky swali zuri sana....
unajua wanasema panda miti ili tutunze vyanzo vya maji..

Formation ya mawingu inategemea mvuke ambao huu mvuke unatokana na maji...

Sasa jangwani maji hakuna hivo kutengenezeka kwa mawingu kidogo changamoto.....

Pia kuna ishu ya humidity hii inachangia snaa kutengenezeka kwa mawingu...
 
Back
Top Bottom