Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
Nazijua lakini zina uhusiano gani na swali langu pale juu ?Kasome components of the atmosphere
Nazijua lakini zina uhusiano gani na swali langu pale juu ?Kasome components of the atmosphere
Mbona hapo nimeeleweka mkuuYapo majangwa yanayopakana na bahari,jangwani kuna Oasis lakini pia kuna wakati majangwa hupata mvua.
Je majangwa yanayopakana na bahari yanakosa vipi humidity ?
Haya yanayopata mvua Mara moja moja mawingu hutoka wapi?
Mkuu kuna kitu kinaitwa see breezy na land breezyYapo majangwa yanayopakana na bahari,jangwani kuna Oasis lakini pia kuna wakati majangwa hupata mvua.
Je majangwa yanayopakana na bahari yanakosa vipi humidity ?
Haya yanayopata mvua Mara moja moja mawingu hutoka wapi?
Asilimia 21 ya anga hewa ni oksijen unawezaje kusomea havina uhusiano na swali lako?Nazijua lakini zina uhusiano gani na swali langu pale juu ?
Nazijua lakini zina uhusiano gani na swali langu pale juu ?Kasome components of the atmosphere
Ulichokosea umeuliza na kujijibu mwenyewe.Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.
Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.
Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.
Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Kwa maana hiyo uwepo wa miti au kutokuwepo hakuathiri chochote kiwango Cha Oxygen ?Asilimia 21 ya anga hewa ni oksijen unawezaje kusomea havina uhusiano na swali lako?
Mkuu upo serious Kwel au unataka kunichosha?Nazijua lakini zina uhusiano gani na swali langu pale juu ?
Sea breezy na Land Breezy zinathiri vipi Hali ya hewa ya Jangwani ?Mkuu kuna kitu kinaitwa see breezy na land breezy
Kwann isiathiri wakati nacho ni chanzo Cha oxygen?Kwa maana hiyo uwepo wa miti au kutokuwepo hakuathiri chochote kiwango Cha Oxygen ?
Kupitia upepo inaweza safirisha mvuke au unyevu na kuleta mvuaSea breezy na Land Breezy zinathiri vipi Hali ya hewa ya Jangwani ?
We jamaa ukijua maana ya see breez na land breez utajua zinaathiri vipiSea breezy na Land Breezy zinathiri vipi Hali ya hewa ya Jangwani ?
Unasema mvua msimu wa 24/25 ilikua kubwa kisa umeona maji hapo dsm yaliyokosa mwelekeo baada ya watu kuje honyo na kuzuia njia za maji. Rudi kafanye utafiti upya.Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.
Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.
Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.
Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Yeye anaangalia lia joto na mvua bila kuangalia hata hizo hali zimetokea majira yake ama la. Arudi shule kwanza haya mambo bado mchanga sanaUnafahamu maana ya 'Mabadiliko ya Tabia ya Nchi?' Hiyo baridi kali kupitiliza unayohisi, joto kali kupitiliza, mvua nyingi kupitiliza kiangazi kikali na kubadilika kwa majira ndiyo matokeo ya huo ujinga wako wa kutoelewa faida za misitu na uhifadhi wa mazingira
😀😀😀Yeye anaangalia lia joto na mvua bila kuangalia hata hizo hali zimetokea majira yake ama la. Arudi shule kwanza haya mambo bado mchanga sana
NDO Shida kutotembea kushindaa DAR tu,Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.
Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?
Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.
Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.
Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.
Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Ozone layer tulipigwa sanaVipinwale wa ozone layer unaweza sema dunia inaisha kesho
Kwani IST ni mkokoteni?Umeambiwa ununue gari we unajibu utanunus IST