Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

Waliwaletea baridi kali ya kutia fora Dar au elimu kwamba kuna mabadiliko ya tabia ya nchi?
Soma mtiririko
Swala la baridi na joto tunavijadili kwa mtazamo wa Elimu yake.
 
Climate change is real, Kuna mda joto litakuwa kali na baridi itakuwa kali au otherwise, yote ni mabadiliko ya tabia nchi
Wewe kila.siku unalalamika jua kali sana...
Nunua gari sasa maana umri unakwenda na gari huna...

Tupe sababu tena tuma kwa pdf kwanini mpaka sasa huna gari..
 
usione wazungu wanafadhili miradi ya mazingira sio kwamba wanawapenda wanajua impact ya viwanda vyao kwa sisi tusio na viwanda ni kubwa
 
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.

Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?

Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.

Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.

Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.

Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Elimu yetu Iko kiwango cha chini sana msomi haelewi maana ya mabadiliko ya tabia nchi!
 
Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali.

Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu?

Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana kulingana na miaka kadhaa ya nyuma . Hii ni kutokana na ongezeko la wakazi Dar es salaam na Pwani .
Unfortunately baridi limeongezeka.

Mvua msimu wa 24/25 ilikuwa kubwa.

Haya mambo ya shule ya ozone layer ni utapeli.

Naijua vizuri Geography nimefanya vizuri O level na A level but nakiri kuwa tumepigwa.
Mungu hajaumba Dunia dhaifu. Hakuna mwanadamu anaweza kuharibu Dunia kwa jina yoyote.
Kampeni kubwa iliyofanywa kipindi cha nyuma ya upandaji miti imesaidia pakubwa kurekebisha hali ya hewa.. Lakini tukumbuke pia June na July ni miezi ya baridi
 
Mwezi wa may, june na july Dunia wakati wa kulizunguka jua uhama na kuwa mbali na jua hivo tunapokuwa tuna experience baridi kali. Na pia Dunia hulikaribia jua wakati mzunguko wake miezi ya october, november na disember joto huwa kali
 
Back
Top Bottom