Mkuu Elimu haina mwisho usiji-limit na elimu ya level ya kati hata kama ulifaulu sana ndio maana katika hio hio geography kuna watu wa me-specialise huko wana BSc, Msc, PHD na hao nao wanafanya carrier development. Geography nilivyoielewa mimi katika hili inasema shughuli za kibinadamu zinapelekea climatic condition ya mahali husika katika nyakati tofauti kubadilika.(climate change. pia weather instability)...
Sasa hayo mabadiliko ya tabia ya nchi haimaanishi yawe hasi tu muda mwengine yanakua chanya na hata kuwa chanya kupitiliza na kuwa hasi tena. Mfano mvua ni neema lakini hiyo mvua ikizidi kiwango inaleta majanga(mafuriko).
Unaweza akafyeka misitu vya kutosha ukaharibu tabia ya nchi ya eneo hilo(stable weather condition) inamaana msimu ujao kutakua na mabadiliko kulingana na pressure itakayozalishwa eneo hilo ukilinganisha na maeneo mengine ni aidha utokee ukame ama mafuriko.
Pia ukisoma climatology na meteorology utaona zile weather parameters, temperature, precipitation etc zikiwa altered sehemu moja(eg Brazil) zinapelekea madhara sehemu nyingine(mafuriko E. Africa) kwa msimu utakao fuata.
Sasa kinachotakiwa hapa ni kubalance hali ya hewa ya wastani (ecosystems za sehemu tofauti tofauti) na hiki ndicho kinachopambaniwa na wanamazingira duniani.