Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Binafsi BSc yangu imenisaidia sana. Nimeajiliwa na kujiajili at the same time...! ALEKOMSALAAMU
 
Ni pesa nyingi kwako na watu wenye level ya ufikiri kama wako.
 
Unakwenda chuo kupata knowledge ili utumike na mfumo then mfumo unakukataa, lazima uwe mwehu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tena unasoma kwa bidii kweli kweli ukirudi mtaani mfumo unakuambia anza kujiajiri kwa kuuza maji barabarani n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…