Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?



Sasa hizo negativity
 
Watu wengi ambao hawana degree huwa wana wasiwasi sana... kamwe msomi hawezi kuwa sawa na asiyesoma. Kwenye suala la hela msomi ana nafasi nyingi zaidi ya kupata kuliko mtu wa darasa la 7. Na wengi ambao hawana degree wana maisha magumu kulinganisha na wenye degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…