Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Wewe ni mtoto wa kiume au binti ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DCBE kirefu chake?Ndio mkuu BSc in DCBE
😁😁😁🙌🙌🙌
Safi angalau mkuuTunaendelea fresh kabisa.
Maliza chuo kwanza ajira zipo nyingi sanaLeo napokea connection ya kwenda jeshi wakuu 😁😁😁😁
Hongera nyingi kwakoAise, mimi degree imenilipa
Thubutuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo napokea connection ya kwenda jeshi wakuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wana jamvi kwema,
Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.
Vipi mategemeo uliyokuwa nayo, yame kuwa sawa na uhalisia huko duniani? Je, kati ya BSc na BA ipi imesaidia angalau kwenye kujikwamua nje ya ajira, yaani kujiajiri au kutumia ujuzi wako uliopata kutatua changamoto mbalimbali za maisha?
Asamaleko.
Punguza jazba mkuu ni sehemu gani nimesema nina ajira, ila naelewa hali yako wala sikulaumu.We makalio inaonekana umepata ajira basi unaona ambao hawajapata hawajui kuomba au washamba. Ukifunguliwa usije ukajiona mbora sanaa au umependelewa sana.
Nilishaelewa mkuu, usijaliNimekukoti kimakosa mkuu sorry
Hahahah kwamba mtoa maada atapakatwa sio mudq mrefuPambana na maisha yako usifuatile ya wenzako utakuja kupakatwa
Negativity zime kuwa kubwa kweli watu wana chachamaa balaa ilihali mimi nimewajulia hali tu.Sasa hizo negativity
Hakika mkuuHahahah kwamba mtoa maada atapakatwa sio mudq mrefu
IQ kubwa mtu analala njaa hana hata akiba benk kazi kuomba 1000. Hiyo IQ inamsaidia nini.?IQ yako kubwa bank balance yako inasoma ngapi?
Kweli mkuu bora umekuwa bayana, mwenye uwezo wa kumsaidia ndugu yetu huyo afanye hivyo. Wakurugenzi na Ma HR msaidieni.Mwenye connection ya ajira tusaidiane jamani
Hali si hali