Wale wenye BSc, BA na degree nyinginezo mnaendeleaje na hali? Matarajio yenu yametimia baada ya kutunukiwa degree hizo?

Mimi nina degree na nina biashara inayonipa kipato cha kutosha. Unajua mshahara wa aliyeajiriwa TPDC?

VILAZA Wenye biashara kkoo ni mmoja kati ya laki moja. Wengi ambao hawajasoma wana maisha magumu sana.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, wakati tecno yako unaweka bundle la buku halafu unalialia.

Hilo ni tabaka la wachache wanao tafuna na wapo ambao pia hawaja soma.

Walio wengi wanaishi kikanjanja kanjanja mjini tatizo wa bongo wengi ni wanafiki na huwa hamtaki ukweli. Ukweli mchungu huu.
Ambao wamesoma nao wanafatilia maisha yenu ambao mlikimbia shule?. Yes inawezekana niwachache lkn naamini wenye uafadhali wa maisha wengi wao niwaliosoma, ukikusanya vijana 1000 waliomaliza degree/diploma/certificate na ukakusanya vijana 1000 ambao hawajasoma, wenye uafadhari wa maisha wengi wao watakua waliosoma.

Tatizo mnatuonea wivu tulioenda shule, hata kama tunaishi nje ya matarajio lkn hatuwezi kuwa sawa nanyie. Mfano halisi mm nafanya kazi yenye kipato Zaid ya mil 3 Kwa mwez lkn sio matarajio yangu naishi nje ya matajio lkn ukitafuta waliokimbia shule wengi wao hata kuingiza elfu 10 ni mbide. Nabado mnatumia nguvu nyingi kuipata hio ten.
 
Mkuu; Unawataka wenye BSc na BA na degree nyinginezo wa kipindi gani? Kuwa specific pls.
 
Huyo jamaa ni kiazi kweli kweli kazi yake ni kujisifia na kusifia sifia anategemea kuteuliwa ila mpaka sasa hajaambulia kitu.
 
Mi namshukuru sana Mungu aisee kuingiza juu ya 3.5mil kwa mwezi hata miaka 30 sijafikisha ni hii Bsc yangu engineering imenisave
Wengi wanaokejeli elimu walitaman wawe wamesoma lakini wakaishia njiani au mambo yakawa magumu upande wao wakashindwa kusoma. Kisha wanatafuta faraja Kwa kujilinganisha na wasomi.

Wengi wao niwapumbvu.
 
Kwa nini mnapenda kujilinganisha na wasio soma swali lilikuwa je hali ipoje huko duniani na matarajio yametimia, hakuna sehemu uzi umelinganisha aliyesoma na asiyesoma mnapenda kujilinganisha na wasiosoma ili kujifariji sawa endeleeni.
 
Waendelee kujidanganya wenzao tunavuta mamilioni

Msomi atateseka muda mfupi tu akijipata anakula kuku kwa mrija
 
Kwa nini mnapenda kujilinganisha na wasio soma swali lilikuwa je hali ipoje huko duniani na matarajio yametimia, hakuna sehemu uzi umelinganisha aliyesoma na asiyesoma mnapenda kujilinganisha na wasiosoma ili kujifariji sawa endeleeni.
Matarajio hayajatimia lakini tunauhakika wa mil 3 kwenda juu Kwa mwezi, huku tukiendelea kucheza magame kwenye ofisi za uma, nahukana kitu mtafanya. Na madili yakitokea tunapiga Kodi zenu.

Niko naiba kodi zenu na Jana tumepokea Gassoline kutoka MT POLAR ACE, na juzi usiku MT RICH RAINBOW, hapa bandarini.

Pumbavuuu.
 
Matarajio hayajatimia lakini tunauhakika wa mil 3 kwenda juu Kwa mwezi, huku tukiendelea kucheza magame kwenye ofisi za uma, nahukana kitu mtafanya. Na madili yakitokea tunapiga Kodi zenu.
Sawa mkuu hongera endelea kutafuna nchi kulingana na urefu wa kamba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…