Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Unajitekenya na kucheka mwenyewe, wakati tecno yako unaweka bundle la buku halafu unalialia.Mimi nina degree na nina biashara inayonipa kipato cha kutosha. Unajua mshahara wa aliyeajiriwa TPDC?
VILAZA Wenye biashara kkoo ni mmoja kati ya laki moja. Wengi ambao hawajasoma wana maisha magumu sana.
VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?
Ndugu zangu Watanzania, Mimi ni mtumiaji na mteja wa miaka mingi wa mtandao wa voda ,lakini Haijawahi kutokea na sijawahi kushuhudia hali hii katika simu yangu ya ulaji wa mb utafikiri kuna jini limepiga kambi kula mb zangu. Hali hii imejitokeza tangia jana jioni ambapo nilikuwa na mb mia mbili...