Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Huu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5
Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathiri chochote mtaani?
Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kitaa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata mshahara sawa😅😅😅😅😅
Ukienda kwenye makampuni unakuta wanaopaki magari kwenye maofisi ni watu wa hizi GPA za lower second. 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅