Mtu Fodontino
JF-Expert Member
- May 9, 2021
- 351
- 558
Shukrani sana mkuu kwa madini hayaKaza mdogo angu wengine tulilijua Hilo mwaka wa kwanza semister ya pili...Kupambania Gpa inabid uache mambo mengi na uji toe kusoma....wakat mwingine ni luckiness....
Note
Kuna watu Wana Gpa ndogo ila vichwan mwao Wana content la maana na Kuna watu Wana Gpa kubwa ila kwenye content wapo shallow in deep & VICE VERSA IZ TRUE