Nikuulize AKILI ni Nini?
Inategemea una yaangalia maisha katika engo Gani.....
Kua na AKILI sio vyeti....ndio maana Kuna RC morogoro tena ana kisomo Cha Dr alianza kulialia baada ya kutenguliwa....
Mm na washikaji zangu walikua wanatufundisha chemistry, physics, mathematics ila ikija Pepa kweny kile kile walicho nifundisha nawabuluza.....
Kuna mshikaji mwingine duu alikua kinara kwenye Kila kitu chuoni ku prisent, kufundishaa wengine ila alitoka na Gpa 2.2 jamaa ni material I appreciate the guy....
Mimi nilipata Gpa 3.4 nilitaman sana angalau niwe na 3.5
Siku izi maisha yamebadilika sana vyeti tunavyo vipo kabatini na tunafanya kitu tofauti na tulicho soma darasani sina excuse na haya maisha kisa Elimu....
Nikki wa pili aliwai sema wengine House girl pekee ndio anakuita boss...
Sisi wengine tumesha Toka huko kwenye kuajiliwa...
Nakazia tena Kuna AKILI za darasani na AKILI za MAISHA...omba Mungu akupe vyoteee...Omba asikunyime AKILI za MAISHA
Wasalaam,