Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

Mkuu si uache uongo? Au chuo chenu saut huwa baada ya supp grades zinaongezeka…Kwa wa sisi MIT ukiwa ns supp hata kama utapata 85 wewe grade ni C tu…Sasa kama alikuwa anapata supp kila semister means hawez pata gpa hiyo ya 4.2
Acha uongo
 
Kwa mtu asiyejua mambo ya vyuoni anaweza kumuogopa na kumhusudu mtu mwenye GPA kubwa na kumdharau mwenye GPA ndogo. Kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu apate ufauru mkubwa zaidi ya kusoma sana.

1. Urafiki na mkufunzi. Hapa kama uko karibu sana na Lecturer anaweza kukwambia sehemu ya kusoma ili ufauru. Ndio maana wadada wengi hufanya vizuri sana vyuoni kuliko wanaume.

2. Ujanja ujanja wa mwanafunzi. Mfano kutumia nondo kwenye mtihani.

3.Kuchagua "Electives" rahisi hata km haziendani moja kwa moja na kozi yake.
Pia inategemean na chuo ulichosoma..mfano aliyeeoma law mzumbe, udsm na aliyesoma law sauti, mucob usitegemee gpa za kuwa sawasawa hivyo vyuo mzumbe, udsm wanabana Sana gpa ila sauti na mucobs wao wanaachia gpa kubwakubwa .
 
.... una haki ya kujiita hivyo, sababu ulikuwa unanunuliwa kuanzia mafuta ya kupaka, sabuni, nguo na simu ulipewa zawadi baada ya kufaulu form 6 na unawekewa hadi vocha na mama yako ukapelekwa kusoma chuo likizo unarudi nyumbani kula na kulala mwisho ukaleta matokeo ya hovyo tofauti na mimi baba yako ambaye nilikuwa nasoma chuo kingine nikiwa pamoja na jukumu lako, wadogo zako wawili na mama yako lengo likiwa kutafuta cheti cha Degree, tukipata GPA ya Lower second wote wewe ndiye utakuwa kijana wa hovyo kwa hiyo unastahili kujiita hiyo.
Kwa kifupi jua tunasoma katika platform tofauti sana na zinatofautiana pakubwa kuanzia mazingira binafsi hata vyuo standards zao za ufundishaji zimetofautiana sana so unakuja kulinganisha vipi output za wanafunzi wao kwa GPA. Chukua watu wenye life standard moja, Majukumu sawa, wakasoma chuo kimoja, kozi moja wakafanya mtihani mmoja ndo uwalinganishe uwezo wao kwa GPA.
Mimi mwenyewe mmoja wapo sisi ni vijana wa hovyo wala si uongo [emoji3]

Japo tuli enjoy life la chuo hatukuwa wasongolist
 
.... una haki ya kujiita hivyo, sababu ulikuwa unanunuliwa kuanzia mafuta ya kupaka, sabuni, nguo na simu ulipewa zawadi baada ya kufaulu form 6 na unawekewa hadi vocha na mama yako ukapelekwa kusoma chuo likizo unarudi nyumbani kula na kulala mwisho ukaleta matokeo ya hovyo tofauti na mimi baba yako ambaye nilikuwa nasoma chuo kingine kwa ajili ya kutafuta cheti cha Degree tukipata GPA ya Lower second wote wewe ndiye utakuwa kijana wa hovyo kwa hiyo unastahili.
By the way Nimetokea Manzese nimelelewa na mjomba muuza gongo in short nimejilea kwa baadhi miaka ktk ukuaji wangu na loan board ikafanya mambo yawe rahisi

Kwahyo punguza mihemko mzee wangu msongolist na huo m gpa wako

Mzee Qummer we unadhani wote tumepitia luxury
 
...mama yako ndiye kasababisha yote haya kwa kukupenda sana, nilikuwa namuonya hanisikii.
 
Vile mnajipa matumaini.

Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.

Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.

Halafu kuna zile gpa za saut au Tumaini university halafu kuna gpa za Udsm au Muhimbili.
Acha nichekee ,,[emoji1787][emoji1787]
 
Naona nimefeli sijawahi kupata kazi sbb sifaham vitu vingi ikiwemo programming yaani in short sijawah kupata hata sehemu pa kujitolea kila nikijaribu naambiwa sina ujuzi hata wa kujitolea so huwa najuta bora ningesoma hata ualimu
Umesomea kozi gani, sasa kwanini usisome hiyo programming hata YouTube.
 
Mkuu si uache uongo? Au chuo chenu saut huwa baada ya supp grades zinaongezeka…Kwa wa sisi MIT ukiwa ns supp hata kama utapata 85 wewe grade ni C tu…Sasa kama alikuwa anapata supp kila semister means hawez pata gpa hiyo ya 4.2
Mkuu kuna watu wanacheza na system we tu ndio hujui nazungumzia "miaka yetu" ambapo examination officer ndio anatunza matokeo yoote.

We kama chalii tulia hakuna kitu unajua
 
Navyoona utapata taaabu sana maaishani mwako kwa mambo ya msingi yanayokuhusu kijiringanisha na watu wengine. Kwa hiyo kama hiyo kazi ni mbovu, mshahara mdogo, long work hours,... Wee unaendelea kukomaa kisa na mwenye GPA kubwa anafanya. So inamaana ata ikitokea opportunity ya kazi bora kuliko hio utaendelea kukomaa nayo kwa sababu unataka upate mahahara sawa na mtu aliyekuzidi GPA huko zamani. Aiseee mlolongo wa logic zako zinafanana na GPA yako.
Kiongozi una GPA ya ngapi?? 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Vile mnajipa matumaini.

Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.

Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.

Halafu kuna zile gpa za saut au Tumaini university halafu kuna gpa za Udsm au Muhimbili.
Juzi nilimwambia mtu kuwa SAUT ni chuo Cha vilaza ...akabisha Sana..nikamwacha!
 
Back
Top Bottom