kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,178
- 1,596
Wewe ulipata 4.3, mimi nilipata 2.5! Tunafanya kazi moja na mshahara ni mmoja, una kipi cha kujivunia kunizidi kutokana na GPA yako?Vile mnajipa mtumaini.
Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.
Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.
Halafu kuna zile gpa za saut au tumaini university halafu kuna gpa za udsm au muhimbili.