Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Usikute wenye GPA kubwa wamekuzidi mshahara na ufanisiHuu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5
Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathili chochote mtaani?
Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kataa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata mshahara sawaπ π π π π
Mbaazi akikosa maua husingizia juaKwa mtu asiyejua mambo ya vyuoni anaweza kumuogopa na kumhusudu mtu mwenye GPA kubwa na kumdharau mwenye GPA ndogo. Kuna sababu nyingi zinazosababisha mtu apate ufauru mkubwa zaidi ya kusoma sana.
1. Urafiki na mkufunzi. Hapa km uko karibu sana na Lecturer anaweza kukwambia sehemu ya kusoma ili ufauru. Ndio maana wadada wengi hufanya vizuri sana vyuoni kuliko wanaume.
2. Ujanja ujanja wa mwanafunzi. Mfano kutumia nondo kwenye mtihani.
3.Kuchagua "Electives" rahisi hata km haziendani moja kwa moja na kozi yake.
Serikalini kuna upuuzi mwingi sana. Unaweza usione kabsa tofauti ya form 4, certificate Diploma degree n.k. Serikalini hakuna kazi za kuumizwa kichwa hivyo mwenye kiherehere ndio huonekana mchapa kazi. Ukiwa umesoma sana na kuwa na ufaulu mzuri kuna muda unajiona "Useless" kabisa.Vile mnajipa mtumaini.
Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.
Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.
Halafu kuna zile gpa za saut au tumaini university halafu kuna gpa za udsm au muhimbili.
Vile mnajipa mtumaini.
Vile Inferior people wanapenda kujilinganisha na waliowazidi ili kujipa matumaini.
Kufanya kazi na wenye gpa za 4 hakukuondolei uhalisia wa vile kilaza ulikuwa.
Halafu kuna zile gpa za saut au tumaini university halafu kuna gpa za udsm au muhimbili.
acha upu-uzi weweLower second ni vijana wa hovyo kabisa
[emoji1787]
Hongera sana MenejaHuu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5
Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathili chochote mtaani?
Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kataa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata mshahara sawaπ π π π π
πππππππππHongera sana Meneja
π π π π π π π ila ndio wanaopaki magari nje ya ofisi.Lower second ni vijana wa hovyo kabisa
[emoji1787]
Ungetaja na kozi. Uzito wa GPA unaenda sambamba na kozi. Huwezi linganisha 3.5 ya HR na 3.0 ya engineering. Tuelewane hapo!Huu uzi ni kwaajili ya wale ambao GPA zetu zipo chini ya 3.5
Naomba tupeane mrejesho kama hizi GPA zetu zimetuathiri chochote mtaani?
Mimi binafsi GPA yangu ni 3.1 net, tangia nimeingia kitaa sijawahi kukosa kazi kwa kigezo cha GPA. Na kazini nafanya kazi na wenye GPA zao za 4.3 na tunapata mshahara sawa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa elimu yetu ni mara chache saana hizi GPA kushahabiana na ufanisi wakazi,Usikute wenye GPA kubwa wamekuzidi mshahara na ufanisi
haina haja ya kujilinganisha nao kubali wamekuzidi
π π π π π π π ilitakiwa mishahara iwe inapimwa kwa GPANavyoona utapata taaabu sana maaishani mwako kwa mambo ya msingi yanayokuhusu kijiringanisha na watu wengine. Kwa hiyo kama hiyo kazi ni mbovu, mshahara mdogo, long work hours,... Wee unaendelea kukomaa kisa na mwenye GPA kubwa anafanya. So inamaana ata ikitokea opportunity ya kazi bora kuliko hio utaendelea kukomaa nayo kwa sababu unataka upate mahahara sawa na mtu aliyekuzidi GPA huko zamani. Aiseee mlolongo wa logic zako zinafanana na GPA yako.