Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

Ni kawaida yangu nikiingia gest kuficha waleti yen ye pesa sehem mule. Nikiwa njwiii nilisahau waleti yenye dolali laki 5 kwenye kabati la mle Lodge. Nilirudi speed nikaipata. Nkajifanyisha nilisahau kumuachiq pesa ya kumtosha nilimpa laki Tsh akafurahu sana.
 
ila iz sindano za mgongo bwana,,nirud kwenye mada,,,,,,,kuna sku nmetoka zangu bath sasa nmepaka mafuta nmemaliza katika kuvaa nkaanza kutafta pichu na mkono wa kulia kumbe niliitoa nkashka mkono wa kushoto.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na ulifumaniwa pasiansi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ewwwww
 
Pamoja na heshima zangu najikuta najisahau na-play kavideo ka aslay
 
Utakuwaje shabiki wa Simba kwa stress za sasa uache kuwa msahaulifu?
 
Ni raha sana kujumuika na wakubwa kijiweni kwenye kahawa.
 
Nikiwa na hela mara nyingi nasahau kila mtu,zikiisha nakumbuka kila mtu hata nilioanza nao shule ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…