NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
- Thread starter
-
- #241
Basi hata wanaume tuna marafiki wakike ambao unaweza kulala nao, Na anaweza akakupa sex pia,Mshkaji kwa maana ya mwanaume mwenzangu? How possible is that, why do you even have to ask such!
Everglow swali langu limebase kwenye sleepover, sio kwenda tu kwa mshkaji.Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante....yaani hawajui hii kitu ipo na ni very commonWadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza jina langu kweny hiyo list ya watu 10..Ni kwili Nimefanya research ya hili jambo kwa muda mrefu wanaoweza ni wachache kuliko wasioweza.
Wanaume huvumilive kwenye kupata Sambusa ya Bibi ni zero kabisa, Wengiwao hukosa usingizi kabisa na kushtuka wakiwaza kupewa ubichi wa Tunda Damu.
Nina watu wangu wa karibu 10, wawili tu ndio tumeweza ilo swala wengine ni walikuwa watupia funguo uvunguni na kuwalazimisha kusex, mwisho wa siku inabidi akupe kwasababu hana namna.
Kula bazoka😆Wadada tunatofautiana...naweza kuwa nampenda mwenzangu ndio lkn sio lazima nikienda kwake tukutane huwa inatokea hii kitu. Alaf mbaya sasa ukute mwanaume analazimisha yaan bora hata aombe kiustaarabu vinginevyo tutaghairisha kila kitu na kulala haitokuwepo tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Habari yakoOngeza jina langu kweny hiyo list ya watu 10..
Okeee nmekupata.... kama ikitokea sihitaji kusex nae sitalala kwake.Everglow swali langu limebase kwenye sleepover, sio kwenda tu kwa mshkaji.
Unaweza kwenda mchana mkapiga story, mkapika, mkacheki movies and the story ends there..hilo mbona kawaida sana...
Swali ni je, unaenda kwa mshakaji kulala huku ukitegemea yeye alale na wewe mzungu wa nne, do you think it's fair kweli?
Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?Basi hata wanaume tuna marafiki wakike ambao unaweza kulala nao, Na anaweza akakupa sex pia,
Nyie ndio mwanamke akiwa P hamtaki kabisa aje kulala kwako, kwasababu huwez kufanya chochote, Kukaa na mwanamke ni starehe pia sio lazima umtandike.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu huyu mleta mada anazingua sana! Eti mpange sleepover huku mkijua hakuna kitakachotokea..mmmhOkeee nmekupata.... kama ikitokea sihitaji kusex nae sitalala kwake.
[emoji23][emoji23] umeongea kwa hisia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo..na kuna nyakat kama sitataka kusex nae simpo tu sitalala kwake ingawa itategemea naish nae mazingira yap kama nalala kwake mara nyingi kuna baadh ya siku pia tulala tu hatuez sex kila leo.Ahsante....yaani hawajui hii kitu ipo na ni very common
Si tunakumbatiana[emoji16][emoji16]Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au unamgeuzia mgongo akukumbatie kwa nyuma huku akisikilizia chura lilivyotuna! Una utani weye!!Si tunakumbatiana[emoji16][emoji16]
Mkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!Ipo..na kuna nyakat kama sitataka kusex nae simpo tu sitalala kwake ingawa itategemea naish nae mazingira yap kama nalala kwake mara nyingi kuna baadh ya siku pia tulala tu hatuez sex kila leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly [emoji1][emoji1][emoji1]yakimshinda naenda kukaa nyuma ya mgongo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au unamgeuzia mgongo akukumbatie kwa nyuma huku akisikilizia chura lilivyotuna! Una utani weye!!
Nmesoma hapo sikuona hilo neno [emoji16] mpenz mpya ntaenda kulala kwake kama tu niko tayari kulala nae vingnevyo hapana sababu wanaume nyie akili zenu zinajulikanaMkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!
It's normal thing, Hapa ndipo tunashindwa kuelewana mimi na wewe, Yani ni Jambo la kawaida tambua hilo.Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, kama ni wapenzi tayari na mshaduu mara kadhaa ni sawa mbona, Ila new gf mmmmmh hata wewe kipapa kitachuruzika tu...tuacheni hizi mambo!
Hakika kama unavyoona ni vivuruge🤣Nmesoma hapo sikuona hilo neno [emoji16] mpenz mpya ntaenda kulala kwake kama tu niko tayari kulala nae vingnevyo hapana sababu wanaume nyie akili zenu zinajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app