Mjadala umeisha Everglow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmesoma hapo sikuona hilo neno [emoji16] mpenz mpya ntaenda kulala kwake kama tu niko tayari kulala nae vingnevyo hapana sababu wanaume nyie akili zenu zinajulikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Neno kulala linamanisha Sex🤣🤣Okeee nmekupata.... kama ikitokea sihitaji kusex nae sitalala kwake.
[emoji23][emoji23] umeongea kwa hisia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama mkuu, naona vijana wameanza kuelewa somo,dawa inawaingia taratiiibu.Mkuu Habari yako
[emoji23][emoji106]Mjadala umeisha Everglow [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We soma aliponiquote Eron ndio nmejibu kutokana na alichokisemaKwani Neno kulala linamanisha Sex[emoji1787][emoji1787]
Mlango umeandikwa push we una pull
Hatutumii Nguvu nyingi ni sindano ya paracetamol Watapoa muda si mrefu.Salama mkuu, naona vijana wameanza kuelewa somo,dawa inawaingia taratiiibu.
mkuu kwa wale wasiokuwa chura inakuwaje hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]au unamgeuzia mgongo akukumbatie kwa nyuma huku akisikilizia chura lilivyotuna! Una utani weye!!
🤣mkuu kwa wale wasiokuwa chura inakuwaje hapo
Haha, sijui mkuumkuu kwa wale wasiokuwa chura inakuwaje hapo
Tatizo wanawake hamueleweki,Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu nadiegirlie,Kipapa gani tena hivi mnajua wanawake na wanaume tumetofautiana kwenye hicho kitu cha emotions na sex.Men always wanawaza sex us tumetanguliza hisia zaidi so nikisema leo nooo unakuwa umeziheshimu hisia zangu jambo ambalo litanifanya nitake kukupea.Women need reason to have sex.....men need a place[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani wewe Sleepover na new GF huwezi? Oooopssss!!!! Hujawahi?[emoji23](Soma taratibu)Huenda kuna point mimi na wewe hatuelewani. Ila sleepover na new girlfriend ni suicidal, kwanza mnataka kugundua nini hadi mlale pamoja wakati hamna mpango wa kulana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bwana! Eti new gf alale nimkumbatie kwa nyuma hadi asubuhi, kuna utani mwingine sijui watu wamekunywa kisusio cha nini...eti kwa nyuma nimkumbatie...shem hivi umeelewa nachomaanisha?[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe Sleepover na new GF huwezi? Oooopssss!!!! Hujawahi?[emoji23](Soma taratibu)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wa saa hizi naomba tu awe wa mwisho mkuu sina energy ya mahusiano mapya kabisa yaani inatosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu nadiegirlie,
Siku nyingine kama huna nia ya kumfurahisha mwenzako, tena mpenzi mpya ambaye hajawahi kukugusa.. tafadhali usifanye mambo za sleepover. Unaweza kwenda mkapika, mkala, mkatizama movies na wewe jioni rudi ukalale kwako.[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bwana! Eti new gf alale nimkumbatie kwa nyuma hadi asubuhi, kuna utani mwingine sijui watu wamekunywa kisusio cha nini...eti kwa nyuma nimkumbatie...shem hivi umeelewa nachomaanisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunakuombea mkuu! Kweli inachosha leo huyu kesho yule...hata maungo yanachoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu wa saa hizi naomba tu awe wa mwisho mkuu sina energy ya mahusiano mapya kabisa yaani inatosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli kabisa....lakini kama mtu hataki utamjua kwa kataa yake[emoji1][emoji1][emoji1]ipo serious fulani hiviTatizo wanawake hamueleweki,
Wapo wanaosema No wakimaanisha Yes na wapo wanaosema No kweli,
Women are complicated creature
Kuanza kumzoea mtu mwingine tena kumvulia nguo aaargh sitaki[emoji1]Tunakuombea mkuu! Kweli inachosha leo huyu kesho yule...hata maungo yanachoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuelewa sana sana Shem lake...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shem bwana! Eti new gf alale nimkumbatie kwa nyuma hadi asubuhi, kuna utani mwingine sijui watu wamekunywa kisusio cha nini...eti kwa nyuma nimkumbatie...shem hivi umeelewa nachomaanisha?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza mazoea ya kuleta rafiki kwako unaanzia wapi, ngoja niwakumbushe marafiki zangu wa jinsia KE huku, nikikukaribisha na ukakubali kuja kwangu(nyumbani) ama hotel/lodge na kuna uwezekano wa kulala, jiandae kuliwa la sivyo tukutane kwenye vi mghawaha tupige storyLabda niseme;
Unaposikia mtu anasema mwanamke hawezi kutoka salama getoni mwake ujue huyo ni fisi mla mizogo...pia huu ni aina ya ubakaji.
1. Mwanaume unapaswa kuchagua ke wa kutoka naye na sio kubakana kisa amekuja geto.
2. Usifanye ngono za dharura..mfano akitembelee umlazimishe huu ni ujuha...
Mimi msichana akinitembelea namhesabu ni mgeni wa heshima na hahitaji bughudha.
3. Ukistaarabika huwezi kuabudu ngono au kukosa ustaarabu...ni muhimu kutongozana kwa tabia na sio kulazimishana kwa mazingira.
...Ninaposema kutonaozana kitabia maana yake jifunze kumvutia msichana kwa:
-ustaarabu wako
-ucheshi
-utanashati
-ongea yako nk.
Mavumba isiwe kigezo lkn[emoji38][emoji38]