Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Mtoa mada hataki kushauliwa hivi wala kumpa lawama mumewe fatilia comments zake anachotaka yeye Dada wa kazi wapewe lawama nzote
 
Mjadala bado haujafungwa ndugu, huyo BARADHULI unayemuita mume atazidi kukuletea mabalaa makubwa zaidi. Kuna siku atamtandika mimba dada yako ama mdogo wako ili akili ikukae vizuri. Bye bye.
 
Nilichogundua wewe ni mwanamke unaejitambua na kujua nini maana ya mahusiano na mwanadamu mwenzio....shemeji kapata mke kweli!!...nakusihi endelea kumpenda mumeo na kutunza ndoa yako faida yake utaiona uzeeni. Hongera kwa kuwa na moyo mkuu.
 
Miye kwa sasa nimegeuka hg mwenyewe kwa ajili ya woga. Nipo bize ka mwehu
Acha ujinga utachoka na ataendelea tu, jipe furaha mwanamke kwanini ingekua unahangaika kunifurahisha Mungu hivyo ungekua mbali, huyo hawez kuacha milele jipe Raha kuwa mkali atumie kondom na wewe ukichoka sepa zako
 
Mbona humu ndani nasikia wewe nawe ni hanja hanja hakuna binti humu hujamtongoza. Hebu jitetee
 
Unakuta huyu anashauriwa aondoke,akiondoka baada ya miezi miwili au mitatu anaanza kutembea na waume za watu anageuka mwiba kwenye ndoa za watu.....unamuacha mmeo kwa uzinzi unaenda kuvunja ndoa za watu kwa uzinzi lzima uzae mapooza
 
Acha ujinga utachoka na ataendelea tu, jipe furaha mwanamke kwanini ingekua unahangaika kunifurahisha Mungu hivyo ungekua mbali, huyo hawez kuacha milele jipe Raha kuwa mkali atumie kondom na wewe ukichoka sepa zako
Mama Terry, nawewe umeachika?
 
Unakuta huyu anashauriwa aondoke,akiondoka baada ya miezi miwili au mitatu anaanza kutembea na waume za watu anageuka mwiba kwenye ndoa za watu.....unamuacha mmeo kwa uzinzi unaenda kuvunja ndoa za watu kwa uzinzi lzima uzae mapooza
Mama Terry ona ambao wamebanana na waume zao wanavyokomenti
 
Mama Terry, nawewe umeachika?
Wala nipo nimejaa teleee, ntajaribu kumuambia tu yeye kufanya makaz yote na kuchoka anazidi kupunguza efficiency yake ya kusex na haisaidii chochote mwanaume asiye na adabu kutulia. Arelax tu ajipende
 
Bas unge muambia huyo mumeo aweke misingi sahihi juu ya tatzo hilo, mtakuja kufanyia wengine mtaona Dunia chungu ooooh. Ila poleeh kwa masaibu.
Shoga angu nna mwili wa nyama siyo chuma,mshahara wake dhambi Ni mauti ya milele,wakijamlipizia kwa anayoyafanya atajijua mwenyewe,mie sihusiki
 
Tunatofautiana sana Duniani, bado unasubiri nini Kwenye hio ndoa? Au ya shem ya dhahabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…