Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Sawa dear.

Huwezi kutoa ushauri mzuri maana wewe ni lesbian
 
Wewe umeanza kumdhihaki mtoa mada like she is crazy to keep up with her man.

Like amefanya kosa sana kuja ku express his situation while yeye mwenyewe yuko positive its like alichemka mahali. Now anajibidiisha you would have been positive to appreciate it. Jamaa alianza huo mchezo baada ya mama kujisahau. It happens everywhere mkiolewa mnajisahau ikianza michepuko mwalia lia.
 
Shemeji acha povu basiπŸ˜‚
 
Shoga angu nna mwili wa nyama siyo chuma,mshahara wake dhambi Ni mauti ya milele,wakijamlipizia kwa anayoyafanya atajijua mwenyewe,mie sihusiki
Yaan sio vizuri kuwatelekeza watoto wa watu na mizigo yenu nyie ma boss, sipendezwi na situation km hii.
 
kula hg ni kutega bomu uvungu wa kitanda chako
hutajificha mileleπŸ˜›πŸ˜›
 
Sawa
 
Basi achana na misafari yako... mtegee kitumbua mumeo akile mpaka akinahi... sasa kama kutwa uko kwenye visafari vyako ulitaka rungu akaioshee kwa mitetea wakati housegirl yupo anapendeza kila siku?
😁😁😁
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Poor writing skill
 
Nilichogundua wewe ni mwanamke unaejitambua na kujua nini maana ya mahusiano na mwanadamu mwenzio....shemeji kapata mke kweli!!...nakusihi endelea kumpenda mumeo na kutunza ndoa yako faida yake utaiona uzeeni. Hongera kwa kuwa na moyo mkuu.
Kama watauona uzee. Ngono zembe hizi mwisho wake ni bahati nasibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…