Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Ongeza nyama kwenye maelezo yako
Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
 
Yaani mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie anakuwa mke mwenzio mimi sitaki kabisa kusikia kuweka house girl
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shunie acha ubinafsi bhana mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie majukumu yote ya kifamilia pamoja na kutoa tunda kwa baba mwenye nyumba kwa nn wewe unakuwa na roho ya uchoyo au umesahau kale kamsemo kanakosema kizuri kura na mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Ni chaguo lake kufanya huo ushenzi.
Huwezi kujilaumu na kujipa presha.
Kama wewe unaweza kusafiri na kurudi bila mimba ya mtu wa nje, yeye anaweza kukaa nyumbani bila kujaza mimba wafanyakazi wake.

Kama English yako inapanda naomba utizame hii video.

Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
duh muambie tu jamaa kuwa hiyo idadi inatosha kwa kweli apumzike sasa na alee watoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shunie acha ubinafsi bhana mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie majukumu yote ya kifamilia pamoja na kutoa tunda kwa baba mwenye nyumba kwa nn wewe unakuwa na roho ya uchoyo au umesahau kale kamsemo kanakosema kizuri kura na mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu kwendeni uko umalaya fanyeni nje sio ndani ya nyumba
 
Ni chaguo lake kufanya huo ushenzi.
Huwezi kujilaumu na kujipa presha.
Kama wewe unaweza kusafiri na kurudi bila mimba ya mtu wa nje, yeye anaweza kukaa nyumbani bila kujaza mimba wafanyakazi wake.

Kama English yako inapanda naomba utizame hii video.

Asante ngoja nijaribu. Je unaweza kunifafanulia kwa ufupi?
 
Siyo wanaume wote.
Ukimchukulia house girl kama mwanao (kwani wengi ni wadogo), huwezi waza kumfanyia upuuzi kama huo.
Watu wanaoamini mahubiri ya nabii Titto ya kutafuna housegirl nawaona kama ni wanaume wakatili.
Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.
 
Nawe pole ya mbeleni naamini yatakukuta tu labda sio dunia hii duara..[emoji23]

Wababa bhana sijui huwa tupoje..[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wababa wabaya sana yani hapa kila mbaba akisema aanze kutoa stori jinsi alivyowakula hawa mabeki tatu nadhani huu uzi utafungwa chapu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom