Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Ukishajua unafukuza tu atajua mwenyewe na aliyempa mimba , wewe unaendelea na maisha yako . Maisha mafupi Sana usijipe stress.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wababa wabaya sana yani hapa kila mbaba akisema aanze kutoa stori jinsi alivyowakula hawa mabeki tatu nadhani huu uzi utafungwa chapu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ndo wababa wa ulipo tupo Kama hatupo basi twaja..🤣🤣
 
Mkiambiwa mwanamke afaa akae nyumbani amuhudumie mumewe mnajifanya ooh "wanawake tunaweza" bla bla sasa wewe umeolewa afu unajifanya unajua sana kutafuta hela ooh unasafiri sana pole ila ukome.

Mda wote haupo mume yuko na house girl majukumu yote house girl unategemea nini HATA INGEKUA MIMI NISINGE LAZA DAMU. Pambana na pressure vizuri umevuna ulichndanda.
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
 
Swala la hg sitaki hata kulisikia lilishanitokea sitaki kurudia kosa kabisa
Kuna faida ya kutokuwa na Housegirl, hasa jikoni unaweza kumnunulia mkeo vifaa vya kisasa kama electrical pressure cooker akaitunza na kuithamini ikadumu. Mara nyingi nyumba ambazo HG ndiye dereva wa household, vifaa vya ndani hata vitu kama vijiko au glass ni majanga. Unaweza kuta haina hata glass moja ya kunywea maji, zote zimevunjika na hasemi
 
Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
Shukuru kwakuwa amekubali kubeba jukumu, watoto ni baraka, watunze hao watoto bila kinyongo utabarikiwa.
 
Mtu ufanye ujinga wote, lakini kumlala binti wa kazi, hapana aisee. Anakusaidia kulea watoto, anakuangalizia nyumba mkiwa hampo, anapika, anafua na jinsi tunavyoishi nao ni kama watoto/wadogo zetu. Binafsi nipo against na hii kitu, tafuta mwanamke mwingine huko sio ndani ya nyumba.
 
Kweli kabsaa. Upo vizuri boss
 
Sisi ndo wababa wa ulipo tupo Kama hatupo basi twaja..[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa shunie amesema hataki tena kusikia binti wa kazi mana wababa wenyewe ndio hawa wanataka kula tuswala tunaowasaidia kazi kina shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa mwanaume raha sana
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Sasa nao si watoto wako yan wa mke mwenzio itabidi uwafatilie mana ukoo wa mzee unapotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom