Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Sasa nao si watoto wako yan wa mke mwenzio itabidi uwafatilie mana ukoo wa mzee unapotea[emoji1787][emoji1787][emoji1787a
Anao watoto wengi tu. Hao wataendelea kufaidika na kuendeleza jina hukohuko walipo. Sikweli kuwa ni wake au mke mwenzangu, kuzaa na mwanaume hakumfanyi mwanamke kuwa mke na ndo maana kuna single mothers
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Kazi ndiyo imekuponza ,umepata hela lakini umeuza ndoa.pole sana dada yangu!

Hakuna jinsi ya kubadili aina ya kazi?
 
Duuh inasikitisha sana,male tuwe na huruma kidogo na kuwachukulia kama watoto wetu,ila na nyie wanawake mnazidi kila kitu anafanya house girl..........unakuwa kama lisanamu tu nyumbani......marriage siyo sex tu,ni beyond that.......timiza wajibu wako kama mwanamke aliyeolewa
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Chagua safari au mume
 
Yaan hao ndo viswala vitamu kabisa vile vinatia uchu

Bora hata angesema utafute wale wamama wabibi wabibi au watu wazima wanaokuja na kuondoka
Asante kwa ushauri. Niliwahi kuchukua wasichana wakubwa wenye umri zaidi ya 20 na wenye watoto pia wameachika kwenye ndoa zao. Hao pia wanajielewa na wameshatia akili na hawakuwahi kupata janga hilo
 
Duuh inasikitisha sana,male tuwe na huruma kidogo na kuwachukulia kama watoto wetu,ila na nyie wanawake mnazidi kila kitu anafanya house girl..........unakuwa kama lisanamu tu nyumbani......marriage siyo sex tu,ni beyond that.......timiza wajibu wako kama mwanamke aliyeolewa
Sio kweli kuwa anafanya kila kitu. Labda kama sipo
 
Simple matrix, wadada ukitaka mdada wa kazi chukua ndugu wa mumeo akusaidie kazi kwa muda
Hawa wengine lazima waliwe tuu awe mbaya au mzuri maana Kuna wakati simba hula nyasi japo kuwa sio mala kwa mala
Ushaur wangu wadada msipende Hawa wasaidiz bila kuwa na sababu ya nje ya uwezo wako.

unakuta wadada wengine wala hayupo bize kiivile Lakin Ana taka mdada wa kazi huu ni uvivu wako wa kuto kuwajibika lazima ukuumize.

Ila wanaume kufikia kumtia mimba masadizi wa kazi wandani naona kama ni dharau kubwa Sana [emoji25] tuwatafune ikibidi ila mimba sio inaongeza single mama mtaan alafu tuna wakaataa Tena
 
Tatizo linaanzia kuchagua mume jinga .mi mke wangu kaniletea ma hausigel zaidi ya 7 hata majina sipajui achana na kuwatamani
Kwanza unapata Muda saa ngapi kukaa Unaongea na hg. Mmh
 
Anao watoto wengi tu. Hao wataendelea kufaidika na kuendeleza jina hukohuko walipo. Sikweli kuwa ni wake au mke mwenzangu, kuzaa na mwanaume hakumfanyi mwanamke kuwa mke na ndo maana kuna single mothers
😀

Ukipenda ua!??? Hahaha
Makusanyo Bondeni na Makondeni uwalete walio wake nyumbani 😀 huyo kiboko
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Punguza safari
 
ni pm nikushauri vizuri hapa watu wataiga mfano
 
Pole sana,tafuta sasa wa kiume wa kukusaidia kazi usitafute wa kike.Jamaa yako hana aibu kosa huwa mara moja tu zaidi ya hapo ni makusudi

Anao watoto wengi tu. Hao wataendelea kufaidika na kuendeleza jina hukohuko walipo. Sikweli kuwa ni wake au mke mwenzangu, kuzaa na mwanaume hakumfanyi mwanamke kuwa mke na ndo maana kuna single mothers
Pamoja na yote hayo nakuvulia kofia kuwa wewe ni wife material. Jaribu kumsupply K kiroho mbaya atatulia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa shunie amesema hataki tena kusikia binti wa kazi mana wababa wenyewe ndio hawa wanataka kula tuswala tunaowasaidia kazi kina shunie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuwa mwanaume raha sana
Yote kheri..
 
Back
Top Bottom