Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

NASEMA BEKI 3 NI MTAMU ASWA KAKIWA NDO KADOGO UNAKABIKINI MWENYEWE
VITAMU KWELI
 
Hapa ndo mnakosea mnafukuza hg na mimba ya boss, mnawarudisha vijijn wanahangaika wazazi wa binti, kna mwingne alirudishiwa iv iv had bint alipojifungua lol.
Hata Ibrahim aliambiwa na Mungu amuondoa kijakazi Hajir alipopata ujauzito wa boss. Sababu hasa ni kuepusha mauaji au migongano
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Wanaume akili zetu ndo hivyo sasa kama unasafiri muda mrefu hafu yeye mumeo anakula anashiba na anayempikia nae anazidi kunona unategemea nn? Nakusahuri utilize kichwa ukijifanya kuwaza sana unapata pressure na upoteze dira ya biashara zako. Na elewa tu kuwa hautakuja kupata mume wa peke yako, na mumeo nae hana adabu ameshindwa kupiga mzigo huko nje, wasichana wamejazana hawana hata wakuwazibua masikio
 
Kutembea na hg ni ushetani kama ulivyo ushetani mwingine,once you get started you can't seat down,kwahiyo jitahidi kadri uwezavyo mwanaume mwenzangu kujizuia,aina hii ya mahusiano mwishoni itaishia kuharibu tu nyumba yako na kudhalilika kwa jamii yote inayokuzunguka including watoto wako....
 
Sawa basi yaishe mkuu nimekuelewa kua unamjali sana mumeo ila kutafuta pesa nimuhimu kuliko kumuhudumia, pia nimeekuelewela vema tu kua anakupenda sana ndo maana anawapa mimba mfululizo mahouse girl.

Nimekuelewa yaishe nyumba yenu "ina amani" mpaka umepata pressure. Watoto hawajui lolote kwa kua hawana masikio wala macho afu pia mimba inaweza kuwekwa kwenye begi tumbo watoto wasione.

Sawa ushauri wangu sio mzuri sasa hivi ukisafiri nenda kaa huko mwaka mzima swadakta mambo ndo yatakua mazuri.

Ni sawa wewe huna kinyongo hata punje ili uliwafukuza wake wenza huku hutaki wapate mahtaji "wakome watajihudumia wenyewe kulea vichanga visivyo na hatia wewe huna kabisa kinyongo.

Nyumba ina amani tele ila mke yuko kutangaza mapungufu mitandaoni na sasa walimwengu tunatambua "yanayojiri", sawa nimeelewa hongera kwa amani.

Nisamehe mkuu, nimeshakuelewa kua mewe na mumeo ni "magwiji wa ushauri" kwa ndugu na majirani ila wao ndugu na majirani wameshindwa kumshauri mumeo kupachika mahouse girl mimba.

ooh ok nimekumbuka, ndugu na majirani hawajui kua mumeo ni mpachika mimba mahouse girl kwa kua na wenyewe ni kama watoto wenu ok.

( kwa mwanamke anaeweza kuyasema mapungufu ya nyumbani kwake kwenye mpaka kwenye mitandao ila ndugu, jamaa, watoto, majirani wote hawajui) ok

Yaishe nimekuelewa uko vizuri.
Kwa taarifa yako kesi yangu si ya kwanza kutokea. Hata hao unaowaita wake wenza hAwakuoewa mimba kwa siku moja ni miaka inapita ndipo inatokea. Kama ulidhani nitaachana na mume wangu hilo halitotokea utasubiri sana tu maana alichokiunganisha Mungu...utamalizia.
Sina pressure wala magonjwa yoyote yale yasiyoambukiza, nimeleta hapa ili nisikie maoni yenu. Inaonesha weye huna hata mke ndo maana unatoa maoni ya kipuuzi na yaliyojaa chuki na wivu.
Mjadala nimeufunga. Asante
 
Tafutenir vijana wa kiume wawe wanawafanyia usafi na hakikisha akimaliza kazi anaondoka miser mnaishi na watu
Wanaume wa kibongo hawana adabu na heshima muda wote wanawaza ngono
 
Acha kabisa haya mambo uyasikie tu yasikutokee mimi ilishanitokea kwangu kuhusu house girl toka siku hiyo nimesema sitaki house girl kwenye nyumba yangu

Hiyo pesa ya kumlipa binti unanunua mashine ya kufulia vitu vimerahisishwa kwa wenye familia
 
Mkiambiwa mwanamke afaa akae nyumbani amuhudumie mumewe mnajifanya ooh "wanawake tunaweza" bla bla sasa wewe umeolewa afu unajifanya unajua sana kutafuta hela ooh unasafiri sana pole ila ukome.

Mda wote haupo mume yuko na house girl majukumu yote house girl unategemea nini HATA INGEKUA MIMI NISINGE LAZA DAMU. Pambana na pressure vizuri umevuna ulichndanda.
Hamna lolot, mtu mshenzi ni mshenzi tu utakaa nyumbani uchakaee anaenda tembea na vijanafunzi mxiuu! Hapo option ni 2 tu liache kaaanze upya kuliko kuendelea kudhalilika, kama huwez na ww tafuta ka house boy dam inachemka mfanye yenu ngoma droo ila ukikaa uendekeze hawa punda utakufa siku si zako!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka ulisomea sayansi,nakuandika essays Ulikuwa unateseka sana,nahis hata kuandka barua hujui
 
Kuna faida ya kutokuwa na Housegirl, hasa jikoni unaweza kumnunulia mkeo vifaa vya kisasa kama electrical pressure cooker akaitunza na kuithamini ikadumu. Mara nyingi nyumba ambazo HG ndiye dereva wa household, vifaa vya ndani hata vitu kama vijiko au glass ni majanga. Unaweza kuta haina hata glass moja ya kunywea maji, zote zimevunjika na hasemi
Hapa mdo huwa wanawake walioolewa wanakoseaga. Kwanza kwa vyovyote vile huyu msaidizi wa ndani hasa walio wengi walikosa fursa ya kujiendeleza kimaisha aidha kutokana na family background ikiwa labda ni umaskini au kukosa mtu wa kumwonyesha mwelekeo wa maisha. Tatizo linakuja kwa baadhi ya maboss wao ambao ndo hawa wamama walioolewa. Kutumia ukosaji wa huyo binti kama fimbo ya kumuadhibu. Mosi wanawaona kama wao sio watu wenye hadhi na kustahili heshima na faraja. Marsa ooh kanenepeana alikuja kakondeana mchafu sijui hili na lile. Umemuona kabisa katoka kijijini mlo wa shida kwanin akila mwili usitoe ushirikiano na mlo? Sasa hapo kwenye kazi. Binti wa watu ndo wa kwanza kuamka na wamwisho kwenda kitandani. Na wengine nasema sio wote wamekuwa wakifokewa hovyo hovyo tu. Hajamaliza hiki kaagiziwa kazi nyingine afu mama ambaye ndo boss amekaa tu anachezea simu. Hivi kuwa msaidizi maana yake mnashirikiana kufanya kazi pamoja? Chombo kimevunjika ambapo hata ,wanao anaweza kukivunja au hata wewe mwenyewe ushavunja vyombo je mumeo anakukaripia kama ufanyavyo kwa house girl? Honestly kuna mazingira huwa naangalia na kuwaonea huruma. By the way hatunaga housegirl for number of years.
Tuje kwenye swali msingi housegirl ametafunwa kama lilivyo bandiko. Iwapo hawa mabinti wangekuwa wanazitambua haki zao wadhani kumfukuza ndo umemaliza tatizo maana mpaka hapo ungetakiwa na aliyesababisha tatizo ambaye ni mumeo awajibishwe pia. Hawa mabinti kungekuwa na vyombo vya kuwasaidia nadhani ungeona matatizo mengi yangewarudia hao hao wanandoa mume na mke. Ishini nao kama watoto wenu aminia ukimfanya kama mmoja wa watoto wako atakueleza from day one kama baba ambaye ni mumeo anamvizia. Lakini kwa wengi kwa kuwa na hulka za kusema nafukuza bila kumaliza tatizo na mumeo, utafukuza huyu kesho yule wemgine sio matatizo ya mimba basi tu kuna wanawake wakishakuwa na housegirl wanajiona miungu watu. Imagine kwa makosa wafanyayo je na hao wanaume wangekuwa wanawafukuza nani angebaki ndani ya hiyo nyumba? Tujiulize tu ni nani mkamilifu je hata wewe si unavumiliwa kwa mengi? Niishie tu hapa inaweza ikakuuma maana kuna wanawake wako arrogant sana utadhani wametoka sayari ya Mars! Kuwa karibu na msaidizi wako mpe heshima kama unavyostahili kuheshimiwa. Mathalan umeajiriwa jiulize tu yule office attendant mbona unamuheshimu vizuri tu ushindweje na mtu anayekuangalizia nyumba na wanao. Afu na sisi wanaume tunajua wanawake hawapendani ukishamtafuna tu housegirl mother house anakosa pia heshima nyumbani,!!!
 
KWANI WEWE HAUJAWAHI KUSALITI NDOA TOKA UOLEWE AU KUPASHA KIPORO... MBONA UNATAKA KUMLAUMU SANA MWANAUME MWENZETU KAMA VILE WEWE NI MTAKATIFU SANA
 
Hata Ibrahim aliambiwa na Mungu amuondoa kijakazi Hajir alipopata ujauzito wa boss. Sababu hasa ni kuepusha mauaji au migongano
Baas boss awajibike kwa matunzo na malezi, sio kuwaachia wazaz wa binti, ni vibaya San.
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Mpotezee mbaba huyoooo.....mdharau mpk ajue unamdharau!!!
 
Back
Top Bottom