Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
Huyo mmeo tahira mtafutie na weww kibenten mbwa huyoooo.....lzm atakuwa na kibamiaa
 
Simple matrix, wadada ukitaka mdada wa kazi chukua ndugu wa mumeo akusaidie kazi kwa muda
Hawa wengine lazima waliwe tuu awe mbaya au mzuri maana Kuna wakati simba hula nyasi japo kuwa sio mala kwa mala
Ushaur wangu wadada msipende Hawa wasaidiz bila kuwa na sababu ya nje ya uwezo wako.

unakuta wadada wengine wala hayupo bize kiivile Lakin Ana taka mdada wa kazi huu ni uvivu wako wa kuto kuwajibika lazima ukuumize.

Ila wanaume kufikia kumtia mimba masadizi wa kazi wandani naona kama ni dharau kubwa Sana [emoji25] tuwatafune ikibidi ila mimba sio inaongeza single mama mtaan alafu tuna wakaataa Tena
Watieni na mimba Kama mnaweza,mme wangu alimtia mimba binti,nikajua sikumuuliza,nikatimua binti kimyakimya,nikahama nyumba,siku kaletwa na wazazi wake nyumba tulohama anaulizwa mwanaume anafanyia wap hata hajui,anaitw Nani hajui,jiran angu akawafata akawaambia huyu mtu alihama kikazi kahamoa mkoa fulan wakaondoka kimyakimya na kijukuu chao,mpk leo mme hajui km walimletea mtt na mawasiliano hawana.....yaan shida tuuuupu!!! Nisivopenda kuingilia mambo ya watu nimejikausha Kama sijui kinachoendelea najilelea wanangu Mimi!!! Shahawa zake zinatangatanga hukooooo
 
Ushajitaftia mstari wa kujihukumu.

Saa ngapi utaweza kujiamini na kukosa presha?

Yani hii ndo shida.

Kwa hiyo kusafiri sana ndo kuna justify nini?
 
Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
Na umekaa hapa unasimulia kama katuni ya Tom ana Jerry.

Girl unaishi na a monster.
Hao wasichana wa kazi ni mabinti wa watu wanaanza kwa kubakwa kisha ndo mimba zinatokea wanasafirishwa.
Miezi 6 baada ya ndoa umejua haya na leo mna miaka 10, huoni vile maisha ya mabinti mnavyoyaharibu.

Acha kumtafuta excuse huyo mwehu.
Na anakwambia kabisa enh ndio.
He is mentally abuse you.
Unajionea sawa tu.
 
Watieni na mimba Kama mnaweza,mme wangu alimtia mimba binti,nikajua sikumuuliza,nikatimua binti kimyakimya,nikahama nyumba,siku kaletwa na wazazi wake nyumba tulohama anaulizwa mwanaume anafanyia wap hata hajui,anaitw Nani hajui,jiran angu akawafata akawaambia huyu mtu alihama kikazi kahamoa mkoa fulan wakaondoka kimyakimya na kijukuu chao,mpk leo mme hajui km walimletea mtt na mawasiliano hawana.....yaan shida tuuuupu!!! Nisivopenda kuingilia mambo ya watu nimejikausha Kama sijui kinachoendelea najilelea wanangu Mimi!!! Shahawa zake zinatangatanga hukooooo
Aseeeh.
Dah
 
Mumeo hafai hata kulumangia,hivi unamuuliza anakubali kirahisi tu kwamba ni kweli kawatia mimba hg 3??? Kwanza anakuchuliaje
Nasikitika kukwambia ukweli Huyo mwanaume hakuheshimu na hiyo tabia hawezi kuacha,usipoweka hg,atatembea hata na ndugu zako wakike wadogo watakaokuja kukutembelea,akiwakosa atatembea hata na binti yako wa kumzaa kama unaye!!!!!
Mwanaume katili sana huyo,imagine anambaka hg akipata mimba mnafukuza mnaleta mwingine anambaka tena na huyo na mwingine tena!!
Akili kumkichwa madam!!!!
 
Watieni na mimba Kama mnaweza,mme wangu alimtia mimba binti,nikajua sikumuuliza,nikatimua binti kimyakimya,nikahama nyumba,siku kaletwa na wazazi wake nyumba tulohama anaulizwa mwanaume anafanyia wap hata hajui,anaitw Nani hajui,jiran angu akawafata akawaambia huyu mtu alihama kikazi kahamoa mkoa fulan wakaondoka kimyakimya na kijukuu chao,mpk leo mme hajui km walimletea mtt na mawasiliano hawana.....yaan shida tuuuupu!!! Nisivopenda kuingilia mambo ya watu nimejikausha Kama sijui kinachoendelea najilelea wanangu Mimi!!! Shahawa zake zinatangatanga hukooooo
Hukufanya sahihi ki ukweli.
 
Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.

Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
Pole!
 
Back
Top Bottom