Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Una hakika mumeo hakuchukua namba kwaajili ya mawasiliano na watoto wake tarajiwa huko mbele mbele?
 
Uzuri hilo halinistui kama anaendelea hivo ni kwa kificho sana wala halinipi shida kabisa. Anayepata shida ni yeye. Miye ninaendelea kuishi bila stress wala pressure yoyote ukizingatia kila kitu ninacho mume yupo, nyumba nzuri, magari mazuri, mashamba na takataka zozote zinazowatesa watu kuzitafuta. Miye nimebarikiwa sivyo kama unavozani. Hizo ni changamoto ambazo kila mtu ana zake
Huyo mume akikuletea UKIMWI, hayo mambo unayojivunia utayafurahia vipi tena? Kupanga ni kuchagua, zingatia hilo.
 
Ushauri wako si wa kujenga. Kuolewa au kuoa ni haki ya kila mwanamke na mwanaume. Pia we wajua mahitaji ya mwili ni pamoja na hilo.
Huwezi amini kama kuna mtu anaishi bila kinyongo na mwanamke au mtu yeyote duniani ni mimi. Na ndo maana hadi leo nipo na mume wangu na ninaamini ananipenda sanaaa tu. Haya nimeyaweka huku ili kupata maoni ya wengine tu.
Watoto wangu nipo nao karibu sana na haya yanayotokea kwa ma hg wala hawayajui. Huwa tunayamaliza na baba yao faraghani sana. Watoto wapo vizuri sana maana wanapata upendo wa baba na mama.
Kwa taarifa yako nyumba yangu au maisha ninayoishi mimi na familia yangu ni ya amani na furaha kiasi kwamba majirani na watu kutoka sehemu zingine na ndugu zetu wengine wanakuja kuomba ushauri.
Maisha gani hayo ya kufurahia mume kupiga mimba ma house girl? Labda kama nawewe unapigisha huko nje unapoenda kwenye safari zako, hapo ngoma "draw" na furaha lazima iwepo tu.
 
Kwa taarifa yako kesi yangu si ya kwanza kutokea. Hata hao unaowaita wake wenza hAwakuoewa mimba kwa siku moja ni miaka inapita ndipo inatokea. Kama ulidhani nitaachana na mume wangu hilo halitotokea utasubiri sana tu maana alichokiunganisha Mungu...utamalizia.
Sina pressure wala magonjwa yoyote yale yasiyoambukiza, nimeleta hapa ili nisikie maoni yenu. Inaonesha weye huna hata mke ndo maana unatoa maoni ya kipuuzi na yaliyojaa chuki na wivu.
Mjadala nimeufunga. Asante
Ukiendelea na ujinga wa namna hii wa kutetea ubaradhuli wa mumeo, basi na ataendelea kukupiga matukio hadi uchanganyikiwe zaidi. Kuna siku atapita na mdogo wako kabisa ndio akili itakukaa sawa.
 
Kwa taarifa yako kesi yangu si ya kwanza kutokea. Hata hao unaowaita wake wenza hAwakuoewa mimba kwa siku moja ni miaka inapita ndipo inatokea. Kama ulidhani nitaachana na mume wangu hilo halitotokea utasubiri sana tu maana alichokiunganisha Mungu...utamalizia.
Sina pressure wala magonjwa yoyote yale yasiyoambukiza, nimeleta hapa ili nisikie maoni yenu. Inaonesha weye huna hata mke ndo maana unatoa maoni ya kipuuzi na yaliyojaa chuki na wivu.
Mjadala nimeufunga. Asante
Naomba nikujibu kwa herufi kubwa.


DENIAL NI KITU KIBAYA MNO.
UNATAMANI .WENYEWE HIVI NDO UWE UNAJISKIA.
UNATAMANI KWELI HIKI ULICHOANDIKA HAPA NDO KIWE KINACHOTEMBEA AKILINI MWAKO.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
SWEETIE, UNAJIDANGANYA MWENYEWE.
HII FARAJA YA GANZI WALA HAITOKUSAIDIA.
FACT IS INAZIDI KUKUMALIZA.
INAZIDI KUKUVUNJA.


SIKIA NIKWAMBIE.
NEXT 2-5 YRS
HII COMMENT UTATAMANI KUIFUTA KWA DAMU.

NA HAITOFUTIKA.
POLE SANA.
MJADALA KUUFUNGA NI HIYARI YAKO.
NDOA NI YAKO
MUME NI WAKO
MOYO UNAOVUJA DAMU NI WAKO
MARADHI NI YAKO
THREAD NI YAKO
BUNDLE NI LAKO
ID NI YAKO
MAONI TU NDO YETU

ALL THE BEST SWEETIE.
ALL THE BEST.

TUNZA HII COMMENT NA UZURI JF IPO MPK TUICHOKE HII
TRUST ME YOU, UTARUDI HAPA.
FOR NOW,
KEEP THE LION CUB LOVE, IT IS A CAT LIKE ANYWAY!
 
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 pole zako kwanini usichukue wa kuanzia 40 YO?
Ndio wanaume zetu hawa

Nikifikiriaga hivi kuhusu house girl tumbo linakata kabisa
 
Mumeo hafai hata kulumangia,hivi unamuuliza anakubali kirahisi tu kwamba ni kweli kawatia mimba hg 3??? Kwanza anakuchuliaje
Nasikitika kukwambia ukweli Huyo mwanaume hakuheshimu na hiyo tabia hawezi kuacha,usipoweka hg,atatembea hata na ndugu zako wakike wadogo watakaokuja kukutembelea,akiwakosa atatembea hata na binti yako wa kumzaa kama unaye!!!!!
Mwanaume katili sana huyo,imagine anambaka hg akipata mimba mnafukuza mnaleta mwingine anambaka tena na huyo na mwingine tena!!
Akili kumkichwa madam!!!!
Yani yupo kama zombie.
Uzi umejua kuniharibia mood huu
 
Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.

Basi tu huyo wa kwako ni pepo limemuingia, maana hata kama ni tamaa zipo options nyingi tu angeweza kutumia na kuepusha majanga ya mimba. Mfano hata kama anatembea na hao hg anashindwa nn kutumia kinga.? Hata kama hatumii kinga anashindwa nn kutumia njia zingine zzte za kuzuia mimba..?! Maanake yy kila akilala na mwanamke lazima aweke mimba.! Kwani ww anakuzalisha kila mwaka..?
Mpeleke kwenye maombi, na pole sana dada.
 
Hata Ibrahim aliambiwa na Mungu amuondoa kijakazi Hajir alipopata ujauzito wa boss. Sababu hasa ni kuepusha mauaji au migongano
Heheyehehe

Mistari ya kuwakomboa akili hamuitaki.
Ya kuwaaMbia ndoa haivunjiki ila kwa uzinzi wala sio mistari kwenu.
Hii ya kuendelea kuwapa hadhi za Mrs fulani.
Mke wa ndoa.
Mke wa fulani ndo mnaipenda kweli.

Ila deep down your heart unajua unavojeruhika
Unajua unavomchukia Mumeo
Unajua usivyomfurahia tena
Unajua usivyomtamani tena
Unajua usivyohisi kumhitaji kimwili tena
Unajua usivyofika kilele tena
Unajua unavyojichukia
Unajua unajitazama kwenye kioo mara 20 kwa siku kutafuta Kasoro yako kimaumbile.

Unajua love.
Until next time, endelea na hii ganzi unayojipiga akilini.
Siku ukiruhusu kuumia kutoke nje, actually siku chupa yako inayojaza haya matone ya maumivu ikijaa.
Italipuka ,puuuuh.
Yenyewe, na hutakaa ujue nini kilitokea EXCEPT that the damage will be there ,right before your eyes.
Na it will be FATAL.
Trust me.
 
Kweli kabisa. Ila hata yenyewe haijiendeshi. Kwa sasa nafanya kazi mwenyewe tukisaidiana na mr.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah
 
Swala la hg sitaki hata kulisikia lilishanitokea sitaki kurudia kosa kabisa
Heheheh si ulikuwa unajitia nyodo za kuchoka 😂😂😂 sasahivi tunda unatoa bila usumbufu eeh?
Hii tabia ndio inawaponzaga
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu acha tu kuna mmoja alikuja kwangu alikuwa modo hatari chuchu mchongoma yani dah shetani ashindwe na alegee yani sijui nisemeje ila dah embu tuyaache
Huyo hata mie ningetafuna tu 😂😂😂!!!
Especially kama unaleta usumbufu nikitaka kula mzigo unaniletea nyodo utaskia story tu. Kuna mabeki 3 watamu sana jamani hasa upate toto la kisukuma. Akishapigwa msasa wa mjini kidogo hatari tupu.
 
Ili kujizuia, ni bora kutafuta ndugu wa kike wa mwanamume kwa ajili ya kusaidia kazi. (hapa sio rahis kumgegeda ndugu yake ingawa pia inawezekana, maana watu washakula dada zao, shangazi na mama wadogo) ila ni afadhali
Hao wanatafunwa vizuri tu labda wawe wanashea ziwa. Ila kama mama tofauti yani wanamiminiwa lava kama kawa 😂! Huyo mwamba ni "ki BOLOIKA"
 
Back
Top Bottom