Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Ebu kuwa mkweli huko unakoenda huna kampenzi kako japo mnachukua precautions kubwa juu ya kutoshika mimba au kwa tabia zenu akina mama hujamchomekea mzee wako ? n<b take it as an accident learn to forgive life is to short
Mmhhhh hata yet mwenyewe huko anapokwenda kugawa chezo Ni kawaida
 
NDOA NI KAMA "RESTRICTIONS ILLUSION WALL" KILA MMOJA ANACHEZA KIVYAKE BILA MWENZIWE KUJUA KINACHOENDELEA THATS ALLS
Naam kabisa ..anayekamatwa au kufumaniwa kwa kufanya Jambo fulani huyo ndiye anakuwa mkosaji lakini Kama haujakamtwa wewe Ni muaminifu 😀😀
 
😂😂😂😂😂😂
Marital status yangu haibadilishi fikra zangu buddha!!
Wala haibadilishi uhalisia wa hiki kinachoandikwa hapa na huyu.
So nipo au sipo kwenye ndoa sio swali.
Ndoa zetu hazipaswi kuwa mwamvuli au kinga ya utambuzi.
Nimeelewa hivyo Upo sahihi kwa comments nyingi katika uzi huu. Mwl Inaonesha ulivyo na uchungu moyoni na ungependa na wengine waipatepate kama wewe
 
Vinyovyaruge chunga sana ushauri kutoka kwa divorces maana Sange Penda nawe uwe sawa nao! Nani aliye mkamilifu chini ya jua. Suala si kuacha bali kujaribu kurekebisha ili maisha yasonge mbele. Utaacha wangapi? Ni wabinafsi ambao wanakimbilia kutoa ushauri kuachana ilihali mna watoto. Nimependa mtu kama Shunie naye ana ukomavu ila mzee mwenzangu snowhite kisirani chake ni tukose wote. JK alisema, zilongwa mbali na zitendwa mbali. Uwe na ijumaa njema
 
Mi nalaumu wote, hasa mume kwa kutojielewa. Ndo mana mabinti wote hao bado ninawasiliana nao
Katika comment zako zote nimependa hii, maisha lazima yaendelee, na kuna sehemu bado umesema unampenda mumeo, that's powerful, mtazamo wangu na maoni:-
1. Yote katika yote Bwn shemeji kazingua, endelea kumuombea bado anaweza kuwa bora zaidi ya hivyo.
2. Wewe kama mke/mama jifanyie tathimini maeneo ulipopungua boresha.
3. Kwa mahitaji ya wasaidizi wa kazi, tafuta wadada/wamama watu wazima wanaofanya kazi on day basis I.e anakuja Asubuhi anafanya majukumu yote jioni anaondoka, nisingeshauri kuhusu House boy.
 
Usiongee hili sababu hujakutana na binti mkali wewe. Of the same type that you like bro!

Unless uwe unavutiwa na akina Nsyuka tu wenye makope ya ajabu ajabu mjini na makucha nchi 2
...😂😂😂...we jamaa bhana teh teh teh teh...
 
Vinyovyaruge chunga sana ushauri kutoka kwa divorces maana Sange Penda nawe uwe sawa nao! Nani aliye mkamilifu chini ya jua. Suala si kuacha bali kujaribu kurekebisha ili maisha yasonge mbele. Utaacha wangapi? Ni wabinafsi ambao wanakimbilia kutoa ushauri kuachana ilihali mna watoto. Nimependa mtu kama Shunie naye ana ukomavu ila mzee mwenzangu snowhite kisirani chake ni tukose wote. JK alisema, zilongwa mbali na zitendwa mbali. Uwe na ijumaa njema
Mkuu umefanya "Critical analysis" safi kabisa. Feminists ni sumu kwa ndoa za wenzao.
 
Imagine kama ni binti yako yupo mjini kwa watu huko, how would you feel? Umeleta mtoto yupo na 15yrs unamla kweli? Tuweni na huruma na watoto wa wenzetu.
Hawa wanaofanya haya 'karma' itawaadhibu.
 
Heheyehehe

Mistari ya kuwakomboa akili hamuitaki.
Ya kuwaaMbia ndoa haivunjiki ila kwa uzinzi wala sio mistari kwenu.
Hii ya kuendelea kuwapa hadhi za Mrs fulani.
Mke wa ndoa.
Mke wa fulani ndo mnaipenda kweli.

Ila deep down your heart unajua unavojeruhika
Unajua unavomchukia Mumeo
Unajua usivyomfurahia tena
Unajua usivyomtamani tena
Unajua usivyohisi kumhitaji kimwili tena
Unajua usivyofika kilele tena
Unajua unavyojichukia
Unajua unajitazama kwenye kioo mara 20 kwa siku kutafuta Kasoro yako kimaumbile.

Unajua love.
Until next time, endelea na hii ganzi unayojipiga akilini.
Siku ukiruhusu kuumia kutoke nje, actually siku chupa yako inayojaza haya matone ya maumivu ikijaa.
Italipuka ,puuuuh.
Yenyewe, na hutakaa ujue nini kilitokea EXCEPT that the damage will be there ,right before your eyes.
Na it will be FATAL.
Trust me.
Emotional based opinion! You should have the big picture of the matter! Mawazo yako sio mawazo yake...
.
 
Miaka kumi watatu, ikifika miaka 20 idadi itakuwa kubwa zaidi.

Kinachofuata ni maradhi maana mumeo hatumii kinga.

Yafuatayo huenda yakatia aibu zaidi.

Ongea naye.
 
Back
Top Bottom