Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

Wazee wa kuharibu makomeo na vitasa kwenye vyumba vya madada wa kazi siyo!!
 
Yaani mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie anakuwa mke mwenzio mimi sitaki kabisa kusikia kuweka house girl
Dawa ni kuweka house girl anakuzidi umri...weka wa 50+ dadadeq ..
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Usisahau hao Watoto ni ndugu wa Watoto wako!!!
 
Hivi wewe unatufaham wanaume au unatusikia ?! Ipo hivi haujawakomoa kivile na ambavyo huwaoni nakuhakikishia hali zao sio mbaya kama unavyodhani.

Ukisafiri mume anawatokelezea anawapa mahitaji na ofcourse anapiga pump na ooh ANAPIGA PUMP LA MAANA maana kamiss muda mrefu. Wanaume tunatabia ya kukumbushia binafsi hakuna mwanamke eti nilipiga mashine tulivyoachana sikupiga tena, hata tupotezane vipi hua mzuka unakuja wa ladha ya kitumbua cha fulani, hapo lazima kitafutwe nikitafune sawa sawa ndo nafsi itulie.
Uzuri hilo halinistui kama anaendelea hivo ni kwa kificho sana wala halinipi shida kabisa. Anayepata shida ni yeye. Miye ninaendelea kuishi bila stress wala pressure yoyote ukizingatia kila kitu ninacho mume yupo, nyumba nzuri, magari mazuri, mashamba na takataka zozote zinazowatesa watu kuzitafuta. Miye nimebarikiwa sivyo kama unavozani. Hizo ni changamoto ambazo kila mtu ana zake
 
Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
Afu hao wanaume wana tabia mbaya San, wanawapa mimba hg af wanawarudisha kwao, huu ni uonevu khaaah.
 
Sasa utaweza kumudu majuku yote ya nyumbani kupika, kufua, usafi, na n.k basi fanya mpango wa house boy
Na huyo hb mbna atapita nae, ata imagine as hg lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamtafuna house girl..kujisahau hadi mimba...wa kwanza wa pili watatu..wanaume shikamooni.

Mimi house girl hapana sina kifua cha kuhimili hekaheka za namna hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hutaki hg wee? Lol
 
Asante mbona nishakoma kitambo. Ila na wao wamekoma maana wanakomaaga na mimba zao na kulea watoto wao bila usaidizi. Sijawahi kuonana nao tangu niwafukuze kwangu, wanapambana huko vijijini
Hapa ndo mnakosea mnafukuza hg na mimba ya boss, mnawarudisha vijijn wanahangaika wazazi wa binti, kna mwingne alirudishiwa iv iv had bint alipojifungua lol.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom