Acha kabisa haya mambo uyasikie tu yasikutokee mimi ilishanitokea kwangu kuhusu house girl toka siku hiyo nimesema sitaki house girl kwenye nyumba yanguYaan unamtendea wema kama binti yako, inauma sana. Mi nimejeruhiwa sana
Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzitoOngeza nyama kwenye maelezo yako
Na wewe upo kama mtia mada kumbe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shunie acha ubinafsi bhana mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie majukumu yote ya kifamilia pamoja na kutoa tunda kwa baba mwenye nyumba kwa nn wewe unakuwa na roho ya uchoyo au umesahau kale kamsemo kanakosema kizuri kura na mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie anakuwa mke mwenzio mimi sitaki kabisa kusikia kuweka house girl
Ni chaguo lake kufanya huo ushenzi.Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana.
Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
duh muambie tu jamaa kuwa hiyo idadi inatosha kwa kweli apumzike sasa na alee watoto.Baada tu ya Miezi 6 ndani ya ndoa nilisafiri kwa wiki 2 . Niliporudi mume kansmbia nimpe nauli hg arudi kwao ufanisi umeshuka. Badae nikaambiwa namajirani kuwa hg yu mjamzito
Wa pili pia nilisafiri na watatu vilevile. Na wote hao nilipomuuliza mr alikubali kuwa ni kweli.
Ebu kwendeni uko umalaya fanyeni nje sio ndani ya nyumba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shunie acha ubinafsi bhana mtu unamchukua kwa uzuri akusaidie majukumu yote ya kifamilia pamoja na kutoa tunda kwa baba mwenye nyumba kwa nn wewe unakuwa na roho ya uchoyo au umesahau kale kamsemo kanakosema kizuri kura na mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante ngoja nijaribu. Je unaweza kunifafanulia kwa ufupi?Ni chaguo lake kufanya huo ushenzi.
Huwezi kujilaumu na kujipa presha.
Kama wewe unaweza kusafiri na kurudi bila mimba ya mtu wa nje, yeye anaweza kukaa nyumbani bila kujaza mimba wafanyakazi wake.
Kama English yako inapanda naomba utizame hii video.
Nawe pole ya mbeleni naamini yatakukuta tu labda sio dunia hii duara..😂Poleni.
KavurugwOngeza nyama kwenye maelezo yako
Pole bhana shunie ila sisi wanaume mizinguo sana sema nikupe ongera kwa kumaliza majuku yako yote pasipo house girl itakuepusha na majangaEbu kwendeni uko umalaya fanyeni nje sio ndani ya nyumba
Nimefurahi kusikia kuwa sio wanaume wote. Ni mimi tu nina bahati mbaya kupata wa ivo. Pia huwa naona kwa majirani zangu wao hili halitokei.Siyo wanaume wote.
Ukimchukulia house girl kama mwanao (kwani wengi ni wadogo), huwezi waza kumfanyia upuuzi kama huo.
Watu wanaoamini mahubiri ya nabii Titto ya kutafuna housegirl nawaona kama ni wanaume wakatili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wababa wabaya sana yani hapa kila mbaba akisema aanze kutoa stori jinsi alivyowakula hawa mabeki tatu nadhani huu uzi utafungwa chapu[emoji23][emoji23][emoji23]Nawe pole ya mbeleni naamini yatakukuta tu labda sio dunia hii duara..[emoji23]
Wababa bhana sijui huwa tupoje..[emoji1787]
Swala la hg sitaki hata kulisikia lilishanitokea sitaki kurudia kosa kabisaPole bhana shunie ila sisi wanaume mizinguo sana sema nikupe ongera kwa kumaliza majuku yako yote pasipo house girl itakuepusha na majanga
Acha wivu,kwani housegirl anaondoka nayo?Ndio wanaume zetu hawa
Nikifikiriaga hivi kuhusu house girl tumbo linakata kabisa
Mkuu uwe hivihivi na Mungu azidi kukubariki tuSiyo wanaume wote.
Ukimchukulia house girl kama mwanao (kwani wengi ni wadogo), huwezi waza kumfanyia upuuzi kama huo.
Watu wanaoamini mahubiri ya nabii Titto ya kutafuna housegirl nawaona kama ni wanaume wakatili.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]