Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

Isiteteleke ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Hatuna mwana Simba SC 'Popoma' hivi kama Wewe tafadhali. Bakia zako tu huko huko ili uendelee Kutetereka nako sawa?
 
Ndio tulio baki na akili zetu kwani wakati manara anakosea tuliwaambia na nyie kwa ufinyu wenu wa akili hamkuona hili Leo sisi tunaangalia hoja pia kama hujui kimbembe cha muhindi kafanye kazi
Tusubiri hizo akili zitakapowadikisha ligi ikianza.

Maana this time mmetoka patupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu mpira sio kama siasa kwamba unaweza ukahama chama.
Shabiki wa mpira anaenda na upepo unakoenda [emoji23][emoji23].

Huyu si alifurahia manara kuwasema vibaya waandishi leo hii anakuja na eti na maswali ya ajabu ajabu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Yanga bhana
 
Nimesoma ya mwisho tu
Jibu lake Ni HV mpk haji anazungumza taayari anayajua hayo kuwa Ni hatari kufany hvyo kutampozea yeye uhalali mbelen ingawa hili ametumwa ujaona anajiamini mno Ana uhakika Sana mambo yake ya mbeleni ...ajakurupuka wahindi Ni wanyonyaji
 
Simba wako wana Fanya uwekezaji wa maana na wameonesha njia ila nyie mmekomaa na haji mwezi wa Tisa ligi inaanza stay tuned utopolo wote mjiandaee kuilalamikia TFF
 
Shika adabu yako nyie sindio mlisimamisha masikio yenu na kumpongeza marehem mzee akilimal aliposema yanga sio masufuria ya kukodisha msiban Leo unataka huruma yetu kama bwai bwai tu mo asepe Tabeli
 
Isiteteleke ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Hatuna mwana Simba SC 'Popoma' hivi kama Wewe tafadhali. Bakia zako tu huko huko ili uendelee Kutetereka nako sawa?
Punguza jazba kwanza then jibu hoja assistant wa mo
 
Mijitu mingine ni mishabiki ya kijinga sana
Mo kainua Simba na kuwa na uwezo kushinda kwa muda mwingi tu unaoendelea
Mnanga'ngania anaiibia Simba, na kama angekuwa haibi kwani hizo hela zingekuwa zinakuja kwenye matumbo yenu
Ndio kwanza ingekuwa na viCEO njaa kali vinategemea Simba ilishe familia yake.

Huyu Jinga Manara hata sijui katokea wapi Simba, na miaka yote sijawahi kumsikia, alikuwa anaganga njaa Simba huyu domo peperepete
 
Absolute Nonsense...!!
 
Dah hatutaki yaje ya manji na yanga form is temporary tu kuna kipindi simba tutakuwa tuna tafuta makombe je Simba itaweza simama kiuchumi?
 
Haji ilimbidi asubiri kidogo Kwa kuwa "Chipsi za moto haziliki"
Nalog off
 
Huyu haji hajitambua yaani hafai hata kupewa dhamana kwenye taasisi maana maadili hana. Mropokaji, mbwatukaji anataka kila asemalo liwe sheria. Upuuzi gani. Nasikia kwa umri wake kaoa mara hii mara ya 4 ana kasoro na matatizo kede
 
Angelipaje ikiwa mchakato ulikua haujakamilika..?
 
Barba kaingia lini u C.E.O [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] senzo alikua simba mbona hakumpa mkataba manara.. kwa akili ndogo tu kama hujaelewa kuwa mabara ndilo tatizo basi fikra zako ni fupi.. yeye alivyokubali kufanya kazi bila mkataba hakulijua..? Pili alikubali kufanya kazi bila mkataba kwa maslahi yake ya uchawa kwa watu wengine km hao kina GSM nk. Inshot hiatoria ya manara inajirudiarudia tu. Huko anapoenda akiharibu atamwaga mapovu kama haya zaidi. Karma is *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…