Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

Ndani ya miaka 4 anasema katoa bilion 21 CEO kamuweka yeye ofisi za simba zipo ofisini kwake operation za simba kwa asilimia kubwa zinafanywa kwa matakwa yake hesabu za simba haziko open alilalamika sportspesa wanalipa kidogo simba yeye anamatangazo zaidi ya moja kwenye jezi ya simba analipa ngapi gossip inasema haizidi million 200 yeye yupo sehemu ya uwekezaji anaamuaje kila kitu?

Peke yake wakati share ni 49 body ya simba anachagua yeye vikao vya body vinafanyika ofisini kwake huyu jamaa tukimchekea ipo siku ataondoka na simba itashindwa simama kama kampuni mashabiki wengi wamepagawa na form ambayo ni temporary tu tunataka timu hata form ikishuka ya uwanjani lakini financial simba isiteteleke
Isiteteleke ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Hatuna mwana Simba SC 'Popoma' hivi kama Wewe tafadhali. Bakia zako tu huko huko ili uendelee Kutetereka nako sawa?
 
Ndio tulio baki na akili zetu kwani wakati manara anakosea tuliwaambia na nyie kwa ufinyu wenu wa akili hamkuona hili Leo sisi tunaangalia hoja pia kama hujui kimbembe cha muhindi kafanye kazi
Tusubiri hizo akili zitakapowadikisha ligi ikianza.

Maana this time mmetoka patupu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu mpira sio kama siasa kwamba unaweza ukahama chama.
Shabiki wa mpira anaenda na upepo unakoenda [emoji23][emoji23].

Huyu si alifurahia manara kuwasema vibaya waandishi leo hii anakuja na eti na maswali ya ajabu ajabu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Yanga bhana
 
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?

2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?

3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?

4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?

5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?

6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.

7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?

Ninayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Nimesoma ya mwisho tu
Jibu lake Ni HV mpk haji anazungumza taayari anayajua hayo kuwa Ni hatari kufany hvyo kutampozea yeye uhalali mbelen ingawa hili ametumwa ujaona anajiamini mno Ana uhakika Sana mambo yake ya mbeleni ...ajakurupuka wahindi Ni wanyonyaji
 
Simba wako wana Fanya uwekezaji wa maana na wameonesha njia ila nyie mmekomaa na haji mwezi wa Tisa ligi inaanza stay tuned utopolo wote mjiandaee kuilalamikia TFF
 
Sitaki kuamini utopolo leo wamesimama na Manara! Maisha yanaenda kasi sana aiseee! Mo tunajua ndio shida yenu,yaani maskini hapambani amfikie tajiri ila dua zake siku zote ni tajiri afilisike!

Hivi utopolo simba akishuka kiwango kwa kukosa udhamini mtafaidika nini? Uto hamuoni raha siku moja nchi inakuwa na vilabu giants nchini kuanzia kiuchumi hadi uwanjani?

Mfano misri kuna ahly,zamalek,pyramid nk,yaan ninyi mnaanzisha chokochoko simba iporomoke,akili za kijinga kabisa! Utopolo na wapenda mpira tunapaswa kukemea alichokifanya manara wadhamini au wawekezaji wataogopa kuwekeza ktk mpira wetu!
Shika adabu yako nyie sindio mlisimamisha masikio yenu na kumpongeza marehem mzee akilimal aliposema yanga sio masufuria ya kukodisha msiban Leo unataka huruma yetu kama bwai bwai tu mo asepe Tabeli
 
Isiteteleke ndiyo Kiswahili cha wapi hiki? Hatuna mwana Simba SC 'Popoma' hivi kama Wewe tafadhali. Bakia zako tu huko huko ili uendelee Kutetereka nako sawa?
Punguza jazba kwanza then jibu hoja assistant wa mo
 
Mijitu mingine ni mishabiki ya kijinga sana
Mo kainua Simba na kuwa na uwezo kushinda kwa muda mwingi tu unaoendelea
Mnanga'ngania anaiibia Simba, na kama angekuwa haibi kwani hizo hela zingekuwa zinakuja kwenye matumbo yenu
Ndio kwanza ingekuwa na viCEO njaa kali vinategemea Simba ilishe familia yake.

Huyu Jinga Manara hata sijui katokea wapi Simba, na miaka yote sijawahi kumsikia, alikuwa anaganga njaa Simba huyu domo peperepete
 
Tibu kwanzA hiyo inferiority complex yako nakujiona upo chini kisa huna hela au una udhaifu flani then

Tafuta bando kaa chini msikilize vzr Manara kwa lisaa moja nusu then utamuelewa.

Kama uweZo wako ni mdogo kuhisi hisia za wengine usiwe mwepesi wa kuhukumu.Jifunze kwanza kutumia hisia kuwasikiliza watu wanapitia nini ndo ulete u much know wako.
Absolute Nonsense...!!
 
Mijitu mingine ni mishabiki ya kijinga sana
Mo kainua Simba na kuwa na uwezo kushinda kwa muda mwingi tu unaoendelea
Mnanga'ngania anaiibia Simba, na kama angekuwa haibi kwani hizo hela zingekuwa zinakuja kwenye matumbo yenu
Ndio kwanza ingekuwa na viCEO njaa kali vinategemea Simba ilishe familia yake.

Huyu Jinga Manara hata sijui katokea wapi Simba, na miaka yote sijawahi kumsikia, alikuwa anaganga njaa Simba huyu domo peperepete
Dah hatutaki yaje ya manji na yanga form is temporary tu kuna kipindi simba tutakuwa tuna tafuta makombe je Simba itaweza simama kiuchumi?
 
Haji ilimbidi asubiri kidogo Kwa kuwa "Chipsi za moto haziliki"
Nalog off
 
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki?

2. Je, kati ya aliyekuwa CEO Magori ambaye hakuwa kumpa Mkataba wowote Haji Manara na CEO Barbara ambaye kwa mwaka mzima alimpa Mkataba wa Milioni 4 kwa Mwezi ila akawa hataki nani ni Mzuri Kwake na nani alikuwa hamthamini?

3. Katika Sheria za Ajira na Miiko ya Kazi moja wapo ikiwa ni Kutokutoa Siri za Taasisi / Kampuni hivyo basi je, leo hii kwa Mambo ya Siri (ya ndani ya Menejimenti) ya Klabu aliyoyasema Haji Manara Simba SC ikiamua Kumshtaki Mahakamani atakuwa salama?

4. Je, kati ya Haji Manara ambaye amekiri kuwa amekaa Simba SC miaka Sita (6) bila kuwa na Mkataba huku akiridhika na Hali hiyo na Klabu ya Simba ambayo haikumpa huo Mkataba ni nani ni Mjinga (Ngumbaru) na Mpumbavu (Popoma ) hasa?

5. Haji Manara mara kwa mara amekuwa akisikika akiwadhihaki na akiwadharau Waandishi wa Habari akiwaita Takataka je, Haji Manara jana kaongea na Waandishi wa Habari Takataka au Waandishi wa Habari wa Kimataifa?

6. Je, ni kweli kuwa Haji Manara ndiyo Kainyanyua Simba SC Kiumaarufu tokea ianzishwe mwaka 1936 na kwamba Yeye ndiyo ana Thamani Kubwa kuliko Wazee wote wa Simba SC ambao tena wameifia Simba kwa kujitoa Mhanga ili aikute Simba SC hii aliyoikuta Yeye? Mfano Mzee Bamchawi na Wengineo.

7. Je, kwa tabia ya Umbea na Kuropoka aliyonayo Haji Manara mpaka ya Kutoa Siri za Taasisi na Kampuni unadhani kuna Vilabu vingine au Kampuni ( Corporates ) zingine leo hii zitathubutu kutaka Kufanya Kazi nae?

Ninayasubiri sana tu Majibu yenu hapa.
Huyu haji hajitambua yaani hafai hata kupewa dhamana kwenye taasisi maana maadili hana. Mropokaji, mbwatukaji anataka kila asemalo liwe sheria. Upuuzi gani. Nasikia kwa umri wake kaoa mara hii mara ya 4 ana kasoro na matatizo kede
 
Haji kaongea vitu vingi ila tunaweza kuviganya sehemu mbili, ya kwanza kaongea kuhusu maslahi yake binafsi ambayo kiukweli hayatuhusu kama alikuwa analipwa au halipwi anatakiwa kujua wapi apeleke malalamiko yake. Swala la pili ameongea jinsi Mo anavyoitapeli Simba pale kuna hoja ambazo Simba wanatakiwa watoke wazijibu, kama Mo anaona Bhakresa anatoa pesa ndogo yeye anatakiwa atueleze mikataba anayoingia na Simba kutangaza bidhaa zake analipa shilingi ngapi?

Anasema kwa miaka 4 ametoa zaidi ya bilioni 21 mbona haelezi kuwa kipindi hicho Simba iliingiza shilingi ngapi na pia kwanini alikimbilia kuichukua asilimia 49 kabla mchakato haujakamilika.

Kwa mujibu wa makubaliano baada ya yeye kupitishwa kuwa mwekezaji alipaswa kulipa asilimia 10 mwezi wa kwanza na kumalizia nyingine baada ya miezi 3 je tukisema pesa alizopaswa kuwalipa Simba alikuwa anazifanyia biashara tutakuwa tumekosea.

Mo amesema mkataba wa Simba na Azam Tv hauendani na thamani ya Simba kama ni kweli atueleze bilioni 20 alizotoa kama asilimia 49 zinaendana na thamani ya Simba.

Sisi Simba tunachota ni kuwa na timu nzuri yenye mafanikio lakini asizuie watu wengine wanaotaka kuwekeza Simba.

Pia atueleze kama sheria zinataka wawekezaji wawe 3 kwanini ni yeye peke yake amepewa uwekezaji.
Angelipaje ikiwa mchakato ulikua haujakamilika..?
 
1. Muachie Azam, Manara kaisifia Azam humohumo. Tumia akili kujua Azam anaijua hii press kabla hata ya jana.

2.Manara kaishasema CEO hatoi Ajira wala hawezi kuajiri. Yupo anayeajiri(sikiliza tena). Pia Hajji kasema mkataba wa abt 3M alipewa baada ya Deal ya YAKE NA aZAM (Wivu wa Mo)

3. Manar hajawahi kuajiriwa Simba Sc. Alikuwa kibarua tu.

4.Mjinga, Mpumbavu na Popoma ni Manara. Lakini Brabd yake imekuwa sana kwa miaka hiyo sita ndo maana ana mikataba minono ASAS, AZAM NA GSM

5.Hakumaanisha wote, LAKINI AMEWAOMBA RADHI MAPEMA TU JANA. hILO WAACHIE WENYEWE TAKATAKA WATAJUA CHA KUAMUA. Waandishi hawasusi kama wewe, wao wanahitaji Headlines

6. Manara hajasema kuwa yeye ni Mkubwa kuliko Simba, na hajasema kama yeye ndo kainyanyua Simba. Manara kaeleza harakati zake na jitihada zake kuipigania timu wakati wa NJAA na matukio kadhaa yaliyotukia. Akasema kama alipambana wakati wa njaa basi hawezi hujumu wakati wa mavuno. Mje mkanushe kuwa hizo jitihada hakuzifanya au alikuwa halipi tiketi zeke binafsi kusafiri na timu.

7.Manara siyo Mbeya bali ni Mropokaji kwa maana halisi ya Umbea. Kama kampuni itakuwa na tabia Mbovu za Mo na Babra sidhani kama watakubali.

Mind You , ile Press ya jana Imemvua nguo Mo. Na kwa kuogopa kuwekwa Uchi zaidi Mo akae kimya. Hajji kafagia tu Uwanja ana Mengi mpaka ya huyo BM23.

tUSUBIRI PIA sENZO NA dIAMOND pLATINUMZ WAJE WAKANUSHE ALICHOSEMA manara. Kwa ukimya wao inaonekana wazi Mo na Babra ndo Simba na Sc
Barba kaingia lini u C.E.O [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] senzo alikua simba mbona hakumpa mkataba manara.. kwa akili ndogo tu kama hujaelewa kuwa mabara ndilo tatizo basi fikra zako ni fupi.. yeye alivyokubali kufanya kazi bila mkataba hakulijua..? Pili alikubali kufanya kazi bila mkataba kwa maslahi yake ya uchawa kwa watu wengine km hao kina GSM nk. Inshot hiatoria ya manara inajirudiarudia tu. Huko anapoenda akiharibu atamwaga mapovu kama haya zaidi. Karma is *****
 
Back
Top Bottom