Wale wote 'mnaomtetea' Haji Manara na 'Upuuzi' na 'Unafiki' wake popote pale mlipo naomba mnijibu haya Maswali yangu Kwenu

Zamani alikua hafuatiliwi kuhusu kupiga kazi za nje, Ila sasa IV ndio anafuatiliwa ndio mana kamwaga mboga.
Your browser is not able to display this video.
 
tulia wewe kama una hoja kaa kimya au nenda facebook kwa wajinga wenzako
Ww ndio huna hoja unalazimisha Mo aonekane mbaya kisa ujinga mtu asietambua miiko ya taasisi. Tumia ubongo kufikiria usijawe na mihemoko. Pitia miiko ya taasisi yoyote afu uje ujibu huku
 
Dah hatutaki yaje ya manji na yanga form is temporary tu kuna kipindi simba tutakuwa tuna tafuta makombe je Simba itaweza simama kiuchumi?
Nieleze kipindi Simba iliwahi kuwa kama sasa hivi, wakati inaendeshwa na viCEO njaa kali vya kibongo
Hii ambayo naijua toke miaka ya 80, na kabla ya kuja Azim kidogo akajitahidi mpaka tukafika fainali ya CAF, nyuma hao walikuwa wamejaa wezi tu wanakula hela viingilio na hayo ndio mapato yenyewe
Au tatizo hamjui kuwa sasa Simba ni Corparate entity, na huyu manara najaribu kutafuta elimu yake ambayo sioni ni wapi anafiti kwenye boardroom, zaidi ya domo perepete
 
Each corporation inaangukuia kwenye sera zile zile huwezi toa pesa kama unampa mkeo tu hata katika uendeshaji kuna kipindi cha kupima utendaji mo anaendesha simba kwa asilimia zote body anachagua yeye CEO kaajiri yeye ofisi za simba ziko kwake yeye almost dominate kila kitu simba corporate inabidi iwe inajiendeshe yenyewe
 
Umewahi kuchangia hata mia Simba?
 
Kwa hiyo unaandika kwa kutegemea gossip?
 
Nachangia kwa kwenda uwanjani na kununua jersey
Kwenda Uwanjani huku ukiwa umekaa Sebuleni Kwako au Kibanda Umiza na Kununua Jezi tena 'Replica' na siyo 'Original' za hapo Ilala Mchikichini ndiyo Kuichangia Simba SC kiasi kwamba unataka Kujilinganisha ( Kujifananisha ) na Mwekezaji na Tajiri Mohammed ( Mo ) Dewji?
 
Binadamu tunafanana ila tunatofautiana mo ni tajiri ana hela hilo halipingiki ila akiwa anafanya nnje ya utaratibu ushindwe mwambia kisa ana pesa leo kajitoa fahamu kwenye insta live ya chama anyway jersey za simba nilikuwa nanunua kwenye duka la Uhlsport likokuwa pale sinza vibanda Umiza nakwenda na nikiwa na free na uwanjani nakwenda nishasafili mara kazaa na timu pia
 
Kwamba kwakua ana pesa basi ndo hatakiwi kuambiwa ukweli?

Mshaurini asilazimishe kuwa maarufu mitandaoni,kwakua yeye ana pesa ilitakiwa akae pembeni Ili chawa wake kama wewe ndo mpambane kumtetea.
 
Kabla ya Mo Simba kulikuwa Amna matapeli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…