rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Basi angekaa pembeni mpaka mchakato umekamilikaAngelipaje ikiwa mchakato ulikua haujakamilika..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi angekaa pembeni mpaka mchakato umekamilikaAngelipaje ikiwa mchakato ulikua haujakamilika..?
Hizo billions alizotoa nizakwako..? TuliaBasi angekaa pembeni mpaka mchakato umekamilika
tulia wewe kama una hoja kaa kimya au nenda facebook kwa wajinga wenzakoHizo billions alizotoa nizakwako..? Tulia
Ww ndio huna hoja unalazimisha Mo aonekane mbaya kisa ujinga mtu asietambua miiko ya taasisi. Tumia ubongo kufikiria usijawe na mihemoko. Pitia miiko ya taasisi yoyote afu uje ujibu hukutulia wewe kama una hoja kaa kimya au nenda facebook kwa wajinga wenzako
Nieleze kipindi Simba iliwahi kuwa kama sasa hivi, wakati inaendeshwa na viCEO njaa kali vya kibongoDah hatutaki yaje ya manji na yanga form is temporary tu kuna kipindi simba tutakuwa tuna tafuta makombe je Simba itaweza simama kiuchumi?
Mambo ya uzeruzeru yanaingiaje hapaKwa hiyo alipokuwa ni MSEMAJI WA SIMBA, alikuwa ni "MZUNGU" akawa salama! Sasa KAFURUSHWA huko, amerudia kwenye UHALISIA wake, hivyo anawindwa na wale waua MAZERUZERU eeeh?
Unaakili sanaHuyo alipaswa iwe yuko ndani chini ya Sheria ya makosa ya kimtandao.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Jibu swali acha kupaparuka weweLeo inaonekana Kiwango chako cha Nyege za Kukazwa kipo juu mno.
Hapo ndo umeandika upumbavu gani sasa, jitahidi kuficha ujinga wako pumbavu weweNa akukazae kukudukua ukikazwa ni Uungwana?
Each corporation inaangukuia kwenye sera zile zile huwezi toa pesa kama unampa mkeo tu hata katika uendeshaji kuna kipindi cha kupima utendaji mo anaendesha simba kwa asilimia zote body anachagua yeye CEO kaajiri yeye ofisi za simba ziko kwake yeye almost dominate kila kitu simba corporate inabidi iwe inajiendeshe yenyeweNieleze kipindi Simba iliwahi kuwa kama sasa hivi, wakati inaendeshwa na viCEO njaa kali vya kibongo
Hii ambayo naijua toke miaka ya 80, na kabla ya kuja Azim kidogo akajitahidi mpaka tukafika fainali ya CAF, nyuma hao walikuwa wamejaa wezi tu wanakula hela viingilio na hayo ndio mapato yenyewe
Au tatizo hamjui kuwa sasa Simba ni Corparate entity, na huyu manara najaribu kutafuta elimu yake ambayo sioni ni wapi anafiti kwenye boardroom, zaidi ya domo perepete
Umewahi kuchangia hata mia Simba?Ndani ya miaka 4 anasema katoa bilion 21 CEO kamuweka yeye ofisi za simba zipo ofisini kwake operation za simba kwa asilimia kubwa zinafanywa kwa matakwa yake hesabu za simba haziko open alilalamika sportspesa wanalipa kidogo simba yeye anamatangazo zaidi ya moja kwenye jezi ya simba analipa ngapi gossip inasema haizidi million 200 yeye yupo sehemu ya uwekezaji anaamuaje kila kitu?
Peke yake wakati share ni 49 body ya simba anachagua yeye vikao vya body vinafanyika ofisini kwake huyu jamaa tukimchekea ipo siku ataondoka na simba itashindwa simama kama kampuni mashabiki wengi wamepagawa na form ambayo ni temporary tu tunataka timu hata form ikishuka ya uwanjani lakini financial simba isiteteleke
Huoni hata Uandishi wake tu ulivyo wa Kimasikini?Umewahi kuchangia hata mia Simba?
Kwa hiyo unaandika kwa kutegemea gossip?Ndani ya miaka 4 anasema katoa bilion 21 CEO kamuweka yeye ofisi za simba zipo ofisini kwake operation za simba kwa asilimia kubwa zinafanywa kwa matakwa yake hesabu za simba haziko open alilalamika sportspesa wanalipa kidogo simba yeye anamatangazo zaidi ya moja kwenye jezi ya simba analipa ngapi gossip inasema haizidi million 200 yeye yupo sehemu ya uwekezaji anaamuaje kila kitu?
Peke yake wakati share ni 49 body ya simba anachagua yeye vikao vya body vinafanyika ofisini kwake huyu jamaa tukimchekea ipo siku ataondoka na simba itashindwa simama kama kampuni mashabiki wengi wamepagawa na form ambayo ni temporary tu tunataka timu hata form ikishuka ya uwanjani lakini financial simba isiteteleke
Hivi uko sawa kweli?Kwa hiyo unaandika kwa kutegemea gossip?
Nachangia kwa kwenda uwanjani na kununua jerseyUmewahi kuchangia hata mia Simba?
Kwenda Uwanjani huku ukiwa umekaa Sebuleni Kwako au Kibanda Umiza na Kununua Jezi tena 'Replica' na siyo 'Original' za hapo Ilala Mchikichini ndiyo Kuichangia Simba SC kiasi kwamba unataka Kujilinganisha ( Kujifananisha ) na Mwekezaji na Tajiri Mohammed ( Mo ) Dewji?Nachangia kwa kwenda uwanjani na kununua jersey
Binadamu tunafanana ila tunatofautiana mo ni tajiri ana hela hilo halipingiki ila akiwa anafanya nnje ya utaratibu ushindwe mwambia kisa ana pesa leo kajitoa fahamu kwenye insta live ya chama anyway jersey za simba nilikuwa nanunua kwenye duka la Uhlsport likokuwa pale sinza vibanda Umiza nakwenda na nikiwa na free na uwanjani nakwenda nishasafili mara kazaa na timu piaKwenda Uwanjani huku ukiwa umekaa Sebuleni Kwako au Kibanda Umiza na Kununua Jezi tena 'Replica' na siyo 'Original' za hapo Ilala Mchikichini ndiyo Kuichangia Simba SC kiasi kwamba unataka Kujilinganisha ( Kujifananisha ) na Mwekezaji na Tajiri Mohammed ( Mo ) Dewji?
Kwamba kwakua ana pesa basi ndo hatakiwi kuambiwa ukweli?Kwenda Uwanjani huku ukiwa umekaa Sebuleni Kwako au Kibanda Umiza na Kununua Jezi tena 'Replica' na siyo 'Original' za hapo Ilala Mchikichini ndiyo Kuichangia Simba SC kiasi kwamba unataka Kujilinganisha ( Kujifananisha ) na Mwekezaji na Tajiri Mohammed ( Mo ) Dewji?
Kabla ya Mo Simba kulikuwa Amna matapeli?Ndani ya miaka 4 anasema katoa bilion 21 CEO kamuweka yeye ofisi za simba zipo ofisini kwake operation za simba kwa asilimia kubwa zinafanywa kwa matakwa yake hesabu za simba haziko open alilalamika sportspesa wanalipa kidogo simba yeye anamatangazo zaidi ya moja kwenye jezi ya simba analipa ngapi gossip inasema haizidi million 200 yeye yupo sehemu ya uwekezaji anaamuaje kila kitu?
Peke yake wakati share ni 49 body ya simba anachagua yeye vikao vya body vinafanyika ofisini kwake huyu jamaa tukimchekea ipo siku ataondoka na simba itashindwa simama kama kampuni mashabiki wengi wamepagawa na form ambayo ni temporary tu tunataka timu hata form ikishuka ya uwanjani lakini financial simba isiteteleke