Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Kumbuka hii ni Redmi 7 na sio Redmi note 7.... Maana kuna Redmi Note 7, badae ikajatoka Redmi Note 7 Pro, alafu ya mwisho kutoka ni Redmi 7 na zote zina bei tofauti, sifa tofauti ijapokua ki mwonekano zinafanana karibu kila kitu.Hiv offer za namna hii zinazotamanisha hiv, ni kweli hiyo phone inakua og au ni famba tu? Mana kutoka 270 mpk 90 usd c mchezo
Hapa ongezea na Redmi 7a. Kutoa ukakasi kwa wasiofahamu.Kumbuka hii ni Redmi 7 na sio Redmi note 7.... Maana kuna Redmi Note 7, badae ikajatoka Redmi Note 7 Pro, alafu ya mwisho kutoka ni Redmi 7 na zote zina bei tofauti, sifa tofauti ijapokua ki mwonekano zinafanana karibu kila kitu.
KabisaaHapa ongezeka na Redmi 7a. Kutoa ukakasi kwa wasiofahamu.
View attachment 1112728
Kwahy toleo kubwa hapo mkuu itakua redmi 7 bla shakaKumbuka hii ni Redmi 7 na sio Redmi note 7.... Maana kuna Redmi Note 7, badae ikajatoka Redmi Note 7 Pro, alafu ya mwisho kutoka ni Redmi 7 na zote zina bei tofauti, sifa tofauti ijapokua ki mwonekano zinafanana karibu kila kitu.
Hapana... Redmi Note 7 Pro ndio ambayo ipo juu kuliko zote na hata bei yake imechangamkaKwahy toleo kubwa hapo mkuu itakua redmi 7 bla shaka
Soon tutakukaribisha kwenye ulimwengu Xiaomi. Hakika hutajutia uamuzi wako.Tarehe 14/04/2019 nilikuwa natest mitambo kuagiza USB cable mbili online, nione Kama zitafika. Naona Jana tarehe 30/05/2019 nikapokea text kuwa mzigo umetua posta niende na Kitambulisho. Leo asubuhiii nimesogea Posta nimesaini nimebeba mzigo. Sasa ngoja nianze kuagiza ma Xiaomi. Posta ya mkoani sio Dar.
Heheh hlf ww upo kama mimi mana nawazaga kama vile kuna kikundi cha uhun hiv wanapigia debe tununue online hlf wapate hela fln hiv!! Nataka nijaribu kuagiza hata siku moja!Tarehe 14/04/2019 nilikuwa natest mitambo kuagiza USB cable mbili online, nione Kama zitafika. Naona Jana tarehe 30/05/2019 nikapokea text kuwa mzigo umetua posta niende na Kitambulisho. Leo asubuhiii nimesogea Posta nimesaini nimebeba mzigo. Sasa ngoja nianze kuagiza ma Xiaomi. Posta ya mkoani sio Dar.
Hahaaha Mkuu upo Kama Mimi, Hapa nipo kwenye hatua za mwisho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo nione inakuaje....Heheh hlf ww upo kama mimi mana nawazaga kama vile kuna kikundi cha uhun hiv wanapigia debe tununue online hlf wapate hela fln hiv!! Nataka nijaribu kuagiza hata siku moja!
Nikisita sana ntaagiza hata gololi ya baiskeli nione mana sijui nahic hic vp!!
Ahaaa!!!!Hahaaha Mkuu upo Kama Mimi, Hapa nipo kwenye hatua za mwisho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo nione inakuaje....
Agiza tu Mkuu, Kama ni mara ya Kwanza agiza kitu Cha bei ndogooo. Ili upate uzoefu. Ili unapoagiza kitu Cha bei kubwa unarelax.Heheh hlf ww upo kama mimi mana nawazaga kama vile kuna kikundi cha uhun hiv wanapigia debe tununue online hlf wapate hela fln hiv!! Nataka nijaribu kuagiza hata siku moja!
Nikisita sana ntaagiza hata gololi ya baiskeli nione mana sijui nahic hic vp!!
Usiogope anza na vitu vidogo kama ulivyoshauriwa. Mimi mwenyewe nilianza na vitu vidogovidogo na vyote nilivipata. Baadaye nikanunua simu. Na bado naendelea ninapopata hela. Kila la heri mkuu.Hahaaha Mkuu upo Kama Mimi, Hapa nipo kwenye hatua za mwisho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo nione inakuaje....
Mkuu wewe ushakua mzoefu saana, Leo nishaagiza vitu vidogo vidogo..ngoja nione inakuaje kuaje... Ila Naona Vodacom Mpesa MasterCard wako vizuri Yani fasta tu Muamala ushafanyika, Dah Maisha Yanaenda Kasi saaana!!!Ahaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
SAWA Mkuu, Ila kusubiri siku 24 hivi si Kazi ndogo aisee,,ila ukishazoea inakua kawaida tu, Yani Nina mzuka Na hii Simu ya Redmi note 7 daah, naitaman niipate hata karibuni ila kibongo bongo wanapasua bei kweli, Ngoja nipate uzoefu niagizeUsiogope anza na vitu vidogo kama ulivyoshauriwa. Mimi mwenyewe nilianza na vitu vidogovidogo na vyote nilivipata. Baadaye nikanunua simu. Na bado naendelea ninapopata hela. Kila la heri mkuu.
Heheh sasa mimi kwa bajet navyozid kuidunduliza nikisema ninunue vitu vdg naharibu na nimebakiza kidg tu, nataka nikinunua ninunue mazima, ikipotea bas..naiwinda R.note 7 pro au ile Shami Mi 9SAWA Mkuu, Ila kusubiri siku 24 hivi si Kazi ndogo aisee,,ila ukishazoea inakua kawaida tu, Yani Nina mzuka Na hii Simu ya Redmi note 7 daah, naitaman niipate hata karibuni ila kibongo bongo wanapasua bei kweli, Ngoja nipate uzoefu niagize
Eeeh! Usiogope wewe jilipue tu mkuu. Narudia tena jilipue. Uoga wako ndio umaskini wakoHeheh sasa mimi kwa bajet navyozid kuidunduliza nikisema ninunue vitu vdg naharibu na nimebakiza kidg tu, nataka nikinunua ninunue mazima, ikipotea bas..naiwinda R.note 7 pro au ile Shami Mi 9
SAWA Mkuu, Ila kusubiri siku 24 hivi si Kazi ndogo aisee,,ila ukishazoea inakua kawaida tu, Yani Nina mzuka Na hii Simu ya Redmi note 7 daah, naitaman niipate hata karibuni ila kibongo bongo wanapasua bei kweli, Ngoja nipate uzoefu niagize