Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hawa shami watatufilisi sasa....so great
Redmi "Killer" 2.0
IMG_20190529_125720.jpeg
IMG_20190528_235149.jpeg
302075610-2078836885.jpeg
 
Hiv offer za namna hii zinazotamanisha hiv, ni kweli hiyo phone inakua og au ni famba tu? Mana kutoka 270 mpk 90 usd c mchezo
Kumbuka hii ni Redmi 7 na sio Redmi note 7.... Maana kuna Redmi Note 7, badae ikajatoka Redmi Note 7 Pro, alafu ya mwisho kutoka ni Redmi 7 na zote zina bei tofauti, sifa tofauti ijapokua ki mwonekano zinafanana karibu kila kitu.
 
Hapa ongezea na Redmi 7a. Kutoa ukakasi kwa wasiofahamu.
16025078051672885782.jpeg
 
Kumbuka hii ni Redmi 7 na sio Redmi note 7.... Maana kuna Redmi Note 7, badae ikajatoka Redmi Note 7 Pro, alafu ya mwisho kutoka ni Redmi 7 na zote zina bei tofauti, sifa tofauti ijapokua ki mwonekano zinafanana karibu kila kitu.
Kwahy toleo kubwa hapo mkuu itakua redmi 7 bla shaka
 
Tarehe 14/04/2019 nilikuwa natest mitambo kuagiza USB cable mbili online, nione Kama zitafika. Naona Jana tarehe 30/05/2019 nikapokea text kuwa mzigo umetua posta niende na Kitambulisho. Leo asubuhiii nimesogea Posta nimesaini nimebeba mzigo. Sasa ngoja nianze kuagiza ma Xiaomi. Posta ya mkoani sio Dar.
 
Soon tutakukaribisha kwenye ulimwengu Xiaomi. Hakika hutajutia uamuzi wako.
 
Tarehe 14/04/2019 nilikuwa natest mitambo kuagiza USB cable mbili online, nione Kama zitafika. Naona Jana tarehe 30/05/2019 nikapokea text kuwa mzigo umetua posta niende na Kitambulisho. Leo asubuhiii nimesogea Posta nimesaini nimebeba mzigo. Sasa ngoja nianze kuagiza ma Xiaomi. Posta ya mkoani sio Dar.
Heheh hlf ww upo kama mimi mana nawazaga kama vile kuna kikundi cha uhun hiv wanapigia debe tununue online hlf wapate hela fln hiv!! Nataka nijaribu kuagiza hata siku moja!
Nikisita sana ntaagiza hata gololi ya baiskeli nione mana sijui nahic hic vp!!
 
Hahaaha Mkuu upo Kama Mimi, Hapa nipo kwenye hatua za mwisho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo nione inakuaje....
 
Ahaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
 
Agiza tu Mkuu, Kama ni mara ya Kwanza agiza kitu Cha bei ndogooo. Ili upate uzoefu. Ili unapoagiza kitu Cha bei kubwa unarelax.
 
Hahaaha Mkuu upo Kama Mimi, Hapa nipo kwenye hatua za mwisho niagize kitu chochote Cha Bei ndogo nione inakuaje....
Usiogope anza na vitu vidogo kama ulivyoshauriwa. Mimi mwenyewe nilianza na vitu vidogovidogo na vyote nilivipata. Baadaye nikanunua simu. Na bado naendelea ninapopata hela. Kila la heri mkuu.
 
Ahaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
Mkuu wewe ushakua mzoefu saana, Leo nishaagiza vitu vidogo vidogo..ngoja nione inakuaje kuaje... Ila Naona Vodacom Mpesa MasterCard wako vizuri Yani fasta tu Muamala ushafanyika, Dah Maisha Yanaenda Kasi saaana!!!
 
Usiogope anza na vitu vidogo kama ulivyoshauriwa. Mimi mwenyewe nilianza na vitu vidogovidogo na vyote nilivipata. Baadaye nikanunua simu. Na bado naendelea ninapopata hela. Kila la heri mkuu.
SAWA Mkuu, Ila kusubiri siku 24 hivi si Kazi ndogo aisee,,ila ukishazoea inakua kawaida tu, Yani Nina mzuka Na hii Simu ya Redmi note 7 daah, naitaman niipate hata karibuni ila kibongo bongo wanapasua bei kweli, Ngoja nipate uzoefu niagize
 
Heheh sasa mimi kwa bajet navyozid kuidunduliza nikisema ninunue vitu vdg naharibu na nimebakiza kidg tu, nataka nikinunua ninunue mazima, ikipotea bas..naiwinda R.note 7 pro au ile Shami Mi 9
 
Issue ndogo sana kusubiri

Back
Top Bottom