uyui kwetu
JF-Expert Member
- Oct 23, 2013
- 1,214
- 783
Mkuu wewe ushakua mzoefu saana, Leo nishaagiza vitu vidogo vidogo..ngoja nione inakuaje kuaje... Ila Naona Vodacom Mpesa MasterCard wako vizuri Yani fasta tu Muamala ushafanyika, Dah Maisha Yanaenda Kasi saaana!!!
Ngoja tujilipue tu Mkuu Haina Namna, kama ume bet tu,Heheh sasa mimi kwa bajet navyozid kuidunduliza nikisema ninunue vitu vdg naharibu na nimebakiza kidg tu, nataka nikinunua ninunue mazima, ikipotea bas..naiwinda R.note 7 pro au ile Shami Mi 9
Powaa Mkuu , Ila Kuna Raha Yake ukishazoea aisee...kuagiza bidhaa NjeIssue ndogo sana kusubiri
Na kweli ngoja nijitoe ufaham mana nahicg negativ sanaEeeh! Usiogope wewe jilipue tu mkuu. Narudia tena jilipue. Uoga wako ndio umaskini wako
Heheh wabongo!! Kwahy ile kusem, " nasubir mzigo kutoka china, USA nk na baada ya siku kadhaa unafika, wananitumia msg kabsa mzigo upo wapi saiv" ni kama Title fln hiv et? Hehe dah!Powaa Mkuu , Ila Kuna Raha Yake ukishazoea aisee...kuagiza bidhaa Nje
Daaaah! Bahati nzuri siku hizi uwizi wa mizigo umepungua (hakuna) Nimeshalizwa sanaa,... tena items za $100+, Shukurani kwa shirika letu la posta.Ngoja tujilipue tu Mkuu Haina Namna, kama ume bet tu,
Ndio maana yake mkuu! Ila kwa kuagiza US kama ni beginners sikushauri kabisa. Anza tu na Chinese Online Store.Heheh wabongo!! Kwahy ile kusem, " nasubir mzigo kutoka china, USA nk na baada ya siku kadhaa unafika, wananitumia msg kabsa mzigo upo wapi saiv" ni kama Title fln hiv et? Hehe dah!
Uwiz ulikua unafanyika vpDaaaah! Bahati nzuri siku hizi uwizi wa mizigo umepungua (hakuna) Nimeshalizwa sanaa,... tena items za $100+, Shukurani kwa shirika letu la posta.
POSTA LET'S GO
Mizigo ilikuwa inapotea boss,... unaona mzigo umetua nchini lakini unapotelea sehemu isiyojulikana haukufikii, pia kuna jamaa aliwahi kukuta simu imechomolewa imebaki charger na user guide pekee. Ila wana refund pesa yote kama ilithibitika kweli mzigo umepotea. Ndio maana store nyingi za China ziliacha kutuma items Tanzania.Uwiz ulikua unafanyika vp
Muda mwingine si uwizi,... Mzigo unapotea intransit, ila uzuri pesa yako ipo salama (escrow)Uwiz ulikua unafanyika vp
Mbona Equity hawasumbui,jaribu kuwasiliana na Huduma kwa watejaAhaaa!!!!
Watu tunaagiza kama tupo Kariakoo vile kuspend laki 7 au zaidi ni kawaida boss, punguzeni uoga.
Maana Tangu nianze kuagiza sijapoteza zaidi ya jamaa wa Equity Bank kunibania refund buku 15
.Naomba screen shots za APN settings za Vodacom wanafamilia xiaomi
Unaweza kuagiza hata 10 na usitozwe chochote.Habari, nataka nianze kuagiza memory card au flash zaidi ya moja namaanisha 5+ je naweza tozwa kodi na kama nikitozwa ni kiasi gani?
Ukianza kuagiza hutaacha, mi nilianza kiuogauoga lkn ss hivi nimekua fundi. Kikubwa uthubutuHeheh wabongo!! Kwahy ile kusem, " nasubir mzigo kutoka china, USA nk na baada ya siku kadhaa unafika, wananitumia msg kabsa mzigo upo wapi saiv" ni kama Title fln hiv et? Hehe dah!