Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Niko mwanza nataka niagize note7 via aliexpress ila nawaza makodi mara mzigo ushikiliwe hata sijui pa kuanzia
- Kupitia hii huduma www.bit.ly/101buy4me mimi nachukua dhamana ya kuhakikisha mzigo unakufikia kwa wakati
- Gharama utakazolipia

1. Manunuzi + Kufikisha nchini = Hiki kiasi utalipa wakati unaweka order, na hutegemea na RAM/ ROM ya simu husika
2. Gharama za EMS - Utalipia TZS. 20,000 kama gharama za EMS baada ya mzigo kufika nchini. Na mzigo unaupokea ndani ya saa 24 hadi 48 tangu mzigo utumwe kwa EMS.

Mawasiliano zaidi: Angalia hapa www.bit.ly/101buy4me

Karibu
 
Niko mwanza nataka niagize note7 via
Nipe order yako, na hakika mzigo utakufikia.

Ninatoa huduma ya uagizaji bidhaa kwa walio mikoani, na hata nchi za jirani ( DRC, Zambia etl ) na bidhaa zao huwafikia
 
Now nimejifunza
Nikinunua simu najifunza kuidisassemble na kuiassemble ili dharura ndogo kama hizi natatua mwenyewe, maana nishagundua, kuna kesi ukipeleka kwa fundi ni kama unaibua matatizo mapya
Mimi nikizichovga nahamia kwenye kitochi hata ipite wiki ndio na fukua kaburi.
Mchele haujawahi kuniangusha
 
Sijui niko sahihi hapa kwenye shipping address wajomba! Msaada na ushauri [emoji116]
 
Nipe order yako, na hakika mzigo utakufikia.

Ninatoa huduma ya uagizaji bidhaa kwa walio mikoani, na hata nchi za jirani ( DRC, Zambia etl ) na bidhaa zao huwafikia
Mkuu niweke bajeti ya kiasi gani mpaka kuipata hiyo simu mkononi kwa bei ya chini kbsa
 
Mzigo wa majaribio umeshafika huku mkoani Songwe ,ndani ya mwezi mmoja
Sasa ni wasaa mzuri wa kujilipua na Xiaomi Brands
Next - Xiaomi RedMi Note 7

Note
Wamenitoza kila Parcel 1500.
 
Mimi wa Temeke Dar kila parcel 2500 na unapewa receipt ya EFD sijaelewa kwanini Kuna utofauti
Mbeya wanatoza ushuru kuanzia parcel za uzito fulani japokuwa sijajua na uzito gan coz kuna niliagiza Xiaomi 2 na bado sikulipia ushuru... But kuna kipindi niliishi Kyela walikuwa wanatoza 1500 na risit EFD unapewa.
 
Mkoani Hawatozi hizi Small Parcel,ila wilayani,tarafa kijiji n.k unalipia kuanzia 1500 kufuatana na sehemu na uzito wa Mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…