Marashaaa95
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 845
- 722
Wenyewe wanasema vipaseli vya kutoka nje ya nchi wanachaji hyo pesa nakumbuka last week nilipokea simu nikalipa 2250
Ndio ndio,labda POSTA MASTER muwe mnafahamiana nae ,unachukua bure,ila kwa sie tusiofahamika ,ni kuanzia 1500 huku wilayani
Ila DAR ndo shida ilipo,ukidakwa Kodi unaweza lipa had 50,000 na zaidi,tena hapo ndo hujatumia DHL
Nataka ya 4gb romManunuzi hadi Dar = TZS. 427000
Kutuma Mwanza (EMS ): TZS. 20,000
Jumla: TZS. 447,000 [ Note 7 3GB/ 32GB ]
Kila mtu na Bahati yake [emoji16][emoji16]Mi mbona posta napokeaga parcel bila makato yoyote tena hata sanduku la posta sina
Ndio ndio,labda POSTA MASTER muwe mnafahamiana nae ,unachukua bure,ila kwa sie tusiofahamika ,ni kuanzia 1500 huku wilayani
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.Ndio ndio,labda POSTA MASTER muwe mnafahamiana nae ,unachukua bure,ila kwa sie tusiofahamika ,ni kuanzia 1500 huku wilayani
Mi mbona posta napokeaga parcel bila makato yoyote tena hata sanduku la posta sina
Mna bahatiMbona mimi sijawah kutozwa kodi mizigo yote 7
Unapokelea Parcel ,posta ipi?Mimi sjawah kuripa hata 100....hadi sasa nmeagiza simu kama 8 na parcels nyingne zaid ya 30
Wengine wanatozwa hadi 2500/Parcel [emoji16][emoji16]Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
[emoji16][emoji16][emoji16] upo wapi mkuu huko,naona mnaenjoy maisha bila tozo!Tumeshasema hapana mi nimeagiza vitu 7 na sijawahi kulipia chochote
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
Free shipping nimeshaamua sitakaa niitumie tena, kuliko ninunue hiko kitu kwa muda, ni bora nisubir hadi nipate fee ya shippingKwa mara ya kwanza nimeagiza Charger aliexpress baada ya muda mrefu wa shipping takribani mwezi mmoja na wiki mbili hatimae mzigo nimeutia mikononi
Free shipping inahitaji uvumilivu sana kwani mizigo inachukua muda mrefu kufika bongo
Inategemea ni free shipping ya courier gani maana zipo hadi za Singapore post ambazo ni faster than everFree shipping nimeshaamua sitakaa niitumie tena, kuliko ninunue hiko kitu kwa muda, ni bora nisubir hadi nipate fee ya shipping
Kwa makonda[emoji16][emoji16][emoji16] upo wapi mkuu huko,naona mnaenjoy maisha bila tozo!
Hii mkuu ntaipambania soon ntaiweka mkononi tu [emoji2484][emoji2484][emoji2484]Manunuzi hadi Dar = TZS. 427000
Kutuma Mwanza (EMS ): TZS. 20,000
Jumla: TZS. 447,000 [ Note 7 3GB/ 32GB ]