Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ndio ndio,labda POSTA MASTER muwe mnafahamiana nae ,unachukua bure,ila kwa sie tusiofahamika ,ni kuanzia 1500 huku wilayani
Wenyewe wanasema vipaseli vya kutoka nje ya nchi wanachaji hyo pesa nakumbuka last week nilipokea simu nikalipa 2250
 
Ndio ndio,labda POSTA MASTER muwe mnafahamiana nae ,unachukua bure,ila kwa sie tusiofahamika ,ni kuanzia 1500 huku wilayani
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
 
Mimi sjawah kuripa hata 100....hadi sasa nmeagiza simu kama 8 na parcels nyingne zaid ya 30
Unapokelea Parcel ,posta ipi?
Ya Mkoa ??
Ya wilaya ??
Ya Tarafa??
Ya kata??
Ya kijiji??

Kuanzia Posta ya Wilaya kushuka chini hizo tozo za 1500/Parcel hazikwepeki mkuu
Ila walio na uafadhari ni Posta Kuu Dar na Posta za Mkoa huku mikoani
Ndio small parcel zisizopitia TRA ,Atleast wanachukua bure bila tozo.
 
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
Wengine wanatozwa hadi 2500/Parcel [emoji16][emoji16]
 
Tumeshasema hapana mi nimeagiza vitu 7 na sijawahi kulipia chochote
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
 
Mi nimepokea mizigo mingi pale posta kuu ya KIVUKONI bila makato yoyote hadi namuuliza mhudumu ''vipi kuna malipo'''.... "anasema nenda"
Hiyo sidhani coz posta Master tunafahamiana fresh ila ananilipisha kama kawa.
Anadai ni maagizo toka juu!!!!
But maeneo mengine wa napotezea hapo ndipo kwenye utata.
Kama kuna mdau anapokelea parcel posta Kuu Dar atuambie kama wanalipishwa hizi ndogo ndogo zisizo pitia TRA
 
Kwa mara ya kwanza nimeagiza Charger aliexpress baada ya muda mrefu wa shipping takribani mwezi mmoja na wiki mbili hatimae mzigo nimeutia mikononi

Free shipping inahitaji uvumilivu sana kwani mizigo inachukua muda mrefu kufika bongo
 
Free shipping nimeshaamua sitakaa niitumie tena, kuliko ninunue hiko kitu kwa muda, ni bora nisubir hadi nipate fee ya shipping
 
Hapo nyuma nimeagiza mizigo mingi sana ikiwemo simu kadhaa sikuwahi kukutana na tozo pale posta.
Lakini sasa imefika mizigo mitatu kila mzigo naambiwa niulipie Tsh 2350. Na ni small packages.
Na hata shipping mzigo miwili nimelipia shipping.
Lakini risiti inaonesha ni gharama za shipping.
 
Back
Top Bottom