Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Haha! We jamaa tangu lini umeanza kuuza makava ya Xiaomi au ndio unanibania nisipate hela ya korosho!?Aje nimpe yangu buku 20 tu
USD 182 ilikwenda karibu 450k.Umechukua kwa ngapi hiyo Bro?
USD 182 ilikwenda karibu 450k.
Shipment method umetumia nini? DHL au maana Alibaba ghali kusafirisha.
Haha! We jamaa tangu lini umeanza kuuza makava ya Xiaomi au ndio unanibania nisipate hela ya korosho!?
Nikazie hapo shipping gani, imekost Bei gani na imechukua muda gani hadi kutua posta ya Tz? SangaweJr
Mkuu imechukua mda gani kutua bongo na ukichukua kwa seller gani?View attachment 1266610View attachment 1266614
Cc Mr. Mobile
Nimetumia box la posta na 2350Tsh. Imenitoka.
4PX Express kwa Singapore postShipment method umetumia nini? DHL au maana Alibaba ghali kusafirisha.
4PX Express kwa Singapore post
Nilijibu hapo juu Seller yupo AlibabaMkuu imechukua mda gani kutua bongo na ukichukua kwa seller gani?
Punguza tamaa simu unayo na unataka ingine
Order tarehe 29 October
Seller akaship 31 October
Umeondoka China 4 November
Umeingia DAR tarehe 10 November
Umefika nilipo 15 November
Dah mimi yangu seller anadai katuma kwa EMS shipping, yenyewe gharama mno
Lakini tangu ashipp tarehe 7 Novemba hadi sasa mzigo wangu bado unazurura Beijing Post tu
hapa nilipo nafsi nimeivika mask
Soma sms vizuri mzigo nadhani hajatuma kwa ems, angalia sms aliyokutumia vizuri, isome kwa umakini, nahisi kuna kitu umekutana nacho ambacho nilikikuta kwangu kumbe ni mie understanding tu
Kama huna sanduku la posta,ukiagiza kitu online unaandika anwani gani?
Nimefanya nae biashara mara tatu hakunizinguaWadauu leo mzigo wangu nimeupata,,
Sasa rasmi kesho najilipu na MI A3 kwa huyu seller anaeitwa hong kong goldway,,,
Wadau huyu seller ni mzinguaji?????
Ngoja niifanyie research hii kitu mkuu. Maana mimi natumia sanduku la posta lililo active na ninalipishwa 2350.