Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu imechukua mda gani kutua bongo na ukichukua kwa seller gani?
Nilijibu hapo juu Seller yupo Alibaba
Store inaitwa
IMG-20191119-WA0013.jpeg
 
Dah mimi yangu seller anadai katuma kwa EMS shipping, yenyewe gharama mno
Lakini tangu ashipp tarehe 7 Novemba hadi sasa mzigo wangu bado unazurura Beijing Post tu

hapa nilipo nafsi nimeivika mask
Order tarehe 29 October
Seller akaship 31 October
Umeondoka China 4 November
Umeingia DAR tarehe 10 November
Umefika nilipo 15 November
 
Soma sms vizuri mzigo nadhani hajatuma kwa ems, angalia sms aliyokutumia vizuri, isome kwa umakini, nahisi kuna kitu umekutana nacho ambacho nilikikuta kwangu kumbe ni mie understanding tu
Dah mimi yangu seller anadai katuma kwa EMS shipping, yenyewe gharama mno
Lakini tangu ashipp tarehe 7 Novemba hadi sasa mzigo wangu bado unazurura Beijing Post tu

hapa nilipo nafsi nimeivika mask
 
Alisema mwenyewe EMS
Ona tracking zao zinaumiza kichwa
Soma sms vizuri mzigo nadhani hajatuma kwa ems, angalia sms aliyokutumia vizuri, isome kwa umakini, nahisi kuna kitu umekutana nacho ambacho nilikikuta kwangu kumbe ni mie understanding tu
Screenshot_2019-11-19-22-13-34-802_yqtrack.app.jpeg
 
Wadauu leo mzigo wangu nimeupata,,
Sasa rasmi kesho najilipu na MI A3 kwa huyu seller anaeitwa hong kong goldway,,,
Wadau huyu seller ni mzinguaji?????
 
Ngoja niifanyie research hii kitu mkuu. Maana mimi natumia sanduku la posta lililo active na ninalipishwa 2350.

jaribu kufanya research mkuu, maana mm nilikuwa napllipiaga pia nikafwatilia nikagundua ilo sasa ivi natumia adress sipati iyo gharama tena
 
Back
Top Bottom