Huseni Ali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 289
- 187
Nimeelewa mkuuUlipokosea hapo kusema mtu wa visiwani na maelezo mengi ambayo hayaeleweki.
Sema hiv
1. Mtu wangu yupo Dar Sehem flan namba yake hii hapa
2. Ni ushahidi angalia u wa wa simu ulizowah kuwatumia baadhi ya wateja wako. Unaweza ficha hata details zao
Hayo yanaleta amani ukiyafuata, ata kama ungekuwa una duka ambapo unawa supply hizo simu, unatupa contact zao au ata sehemu ambapo una mtu wako.. maana wewe una makazi huku nchini... so unatupia contact na kuunganisha na ndugu zako waliopo huku.. mtu anakuwa na amani anamjua nani kampatia hela na anajua wapi anaweza kumpata mambo yakienda kushoto.Nimeelewa mkuu
Ntalifanyia kazi [emoji1666][emoji1666]Hayo yanaleta amani ukiyafuata, ata kama ungekuwa una duka ambapo unawa supply hizo simu, unatupa contact zao au ata sehemu ambapo una mtu wako.. maana wewe una makazi huku nchini... so unatupia contact na kuunganisha na ndugu zako waliopo huku.. mtu anakuwa na amani anamjua nani kampatia hela na anajua wapi anaweza kumpata mambo yakienda kushoto.
Mkuu hapo kwenye mpunga inakuaje,maana watu wanapigwa sana kwa style hyo yaan nitapata uhakika vp?..na hzo ck mbili za mzigo kufika uhakika?Laki tano kamili ndani ya siku mbili
0692119300 nione wasap
0692119300 WhatsAppMkuu hapo kwenye mpunga inakuaje,maana watu wanapigwa sana kwa style hyo yaan nitapata uhakika vp?..na hzo ck mbili za mzigo kufika uhakika?
Nmeshakuchek kachek wassap0692119300 WhatsApp
ExactlyKwa mtu aliyewahi kufika china,wachina wengi wanatumia xiaomi na iphone na oppo tu!
Simu zote globalversion ni world wide sema linapokuja suala la bei ndio litatoa mwongozo kama ni affordable kwa nchi yetu au laah. Binafsi pesa yetu haina thamani Tu ila kwa product za xiaomi zilivyochini ilitakiwa ata tusihangaike na redmi ilikua ni mwendo qa highend Tu kama vile mataifa mengine Mi series zinauzika sanaHIV hii mi 10 ultra ni ya mtanzania kweli?
Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.Kwenye maswala ya pesa hakuna kumuamin mtu 100% izi habari za kulipia mzigo haupo mkononi ni hatari sana any time t....utaenda kulilia choochon...
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaaa nae katokomeea...maaana alikuwa muam8nifu sana...alaf kafany iii business kwa muda sana...vip yamemkuta yap...au anaumwa....aliwah kuniagizia item flan mara 2 nkazipataKweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Eeh! Sidhani, ebu thibitisha.Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Huyu jamaa nahisi atakuwa ana udhuru sidhani kama anaweza tokomea na oda za watu.Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Eh ebwana weeKweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Kila kitu kinawezekanA....tumsubir jamaaa aje atoe ufafanuziHuyu jamaa nahisi atakuwa ana udhuru sidhani kama anaweza tokomea na oda za watu.
Ah hahaha wewe uliwasiliana nae?? Vipi mbona hukunijibu ulipo fikia naona ulikaa kimya kama sio wewe Yani bro ulitaka kutuma laki mbili afu simu umepga mara mbili imekua shida [emoji1787][emoji1787]Huy napinga tena sana Tu, ila kuhusu huyu jamaa kazidi kunitia wasiwasi jana, Iko hivi alinipa namba ya mtu ambaye yuko bongo namba ya airtel akaniambia nikituma pesa kwa hii namba nimfowadie muamala, nikajaribu kuipigia namba mara mbili bola kupokelewa, nikampa majibu kwa njia ya wasap kua namb ulionipa haipokelewi, akajibu kua niwe na subira Tu atanicheki. Kilichotokea ile namba moka leo haijapiga na cha ajabu baad ya kama nusu saa hivi jamaa akaniplease kua nitume tu hela pasipo kujali mwenye namba atanicheki baadae. hHapa nikazidi pata hofu kubwa zaidi, sikumjibu kitu baadae akaniuliza mkuu umefikia wapi? Kina msauziya wapo kina Mwalimu Crt wapo na hata maduka ya online na physical yako kueni makini msije pitiwa na upepo wa xiaomi hali ngumu hizi
Summation ya chatting zetu by the way nahisi hakuna haja ya kulumbana saana na pesa yako mwenyewe play Safe bro and take careHuy napinga tena sana Tu, ila kuhusu huyu jamaa kazidi kunitia wasiwasi jana, Iko hivi alinipa namba ya mtu ambaye yuko bongo namba ya airtel akaniambia nikituma pesa kwa hii namba nimfowadie muamala, nikajaribu kuipigia namba mara mbili bola kupokelewa, nikampa majibu kwa njia ya wasap kua namb ulionipa haipokelewi, akajibu kua niwe na subira Tu atanicheki. Kilichotokea ile namba moka leo haijapiga na cha ajabu baad ya kama nusu saa hivi jamaa akaniplease kua nitume tu hela pasipo kujali mwenye namba atanicheki baadae. hHapa nikazidi pata hofu kubwa zaidi, sikumjibu kitu baadae akaniuliza mkuu umefikia wapi? Kina msauziya wapo kina Mwalimu Crt wapo na hata maduka ya online na physical yako kueni makini msije pitiwa na upepo wa xiaomi hali ngumu hizi
Refurb au brand new?Laki tano kamili ndani ya siku mbili
0692119300 nione wasap
Hizo EU ni Euro au nini?Bei ya Xiaomi zipo kwenye Dirham
Ukiwa upo interested nitafute WhatsApp
0692119300
Jumatatu Asubuhi nitakua Zanzibar Jion nitakua darView attachment 1558977