Nimekutumia pm mkuu.Naomba link tafadhali maana hapa natumia Redmi Note 7 Pro haijawahi kuniangusha. Ila juzi nimepata nayo ajali imepinda katikati na kuvunja kioo... Ingawa bado naitumia ila naiona haina maisha marefu toka sasa.
ila mnapenda ligi sio poa kuna tofauti hizo
redmi 9
redmi 9c
redmi 9T
halafu kuna Note series
Note 9
Note 9 pro
hizi bei za note ziko juu sio hizo ulizo tupa hapa (270-450)k
halafu kuna hiz Mi series jaribu kuzifahamu kwanza hizo simu kabla huja anza kuishangilia hiyo 9c yako ankoli
mkuu hii umetumia shipping method ipi? maana naona dhl which is very expensive.
Au seller yupi anatuma kwa standard shipping? View attachment 1825840
IZI SIMU ZIKO TIGO UNAPATA KWA 270,000 -450,000 NA GB KIBAO MWAKA MZIMA MIMI NINAYO MOJA, NA UNATUMIA LAINI YEYOTE
Shida yake ni processor
sasa ww huku elewa uyo alie uliza hapo juu kua ame tumia shipping method ipi maana alishangaa kuona kuisafirisha tu hiyo sim kuja bongo hela ina kua nying ww haraka haraka ukajibu kua hizo simu zipo tigo kwa bei ya sh 270k mpaka 450k kumbuka hapo sim ilikua ni Redmi Note 10 aya naomba bei ya Note 10 apo tigo ulipo sema hizo sim n bei hizo hiyo 9c sio ishu maana haina maajabu na sio kusudio la muuliza swali pale juu maana tunajua series za redmi hua ni rahis kulinganisha na matoleo ya Note ama Mi ......
- heading ya uzi na mnavotaka ndio mnajenga LIGI za mchangani
Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja
Shukrani brotherNimekutumia pm mkuu.
Accessories mi huwa naagiza kupitia AliExpress Kama kawaida, bongo hapa hakunaMi natumia redmi note 9, aijawwh kunisumbua tangu nimenunua mwaka jana mwezi WA 7 ndio zilikuwa hot zaidi, Ila hapa nafikiria kubadilisha kwenda note 10 pro na nashukuru huku nilipo zipo nyingi. Sema hizi simu ni ngumu Sana alaf ni imara Yan ishu kubwa Tz ilikuwa ni kupata accessories zake Kama protector na kava, ilinibidi niwe nakua naagizia eBay.
Umeipata kwa bei gani?Wapi?Hatimaye mnyamaRedmi Note 10 Pro yupo mkononi.... Anafanya vema sana hapa.
750000/= nimenunulia DarUmeipata kwa bei gani?Wapi?
Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?750000/= nimenunulia Dar
Check hapoUnaweza kutoa location/contact ya duka husika?
[emoji106]Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?
[emoji106]Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?
Check na hapo piaView attachment 1831142View attachment 1831143Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?
Ni Betterphonestz wapo hata Instagram ningeweka namba yake humu lakini naona sio vema maana sijapewa ruksa. Nakutumia PM.Unaweza kutoa location/contact ya duka husika?
Nimekutumia PM contactUnaweza kutoa location/contact ya duka husika?
HakunaNataka ninunue redmi,nahofia ikipasuka kioo,je spea zipo
+255687968594Umeipata kwa bei gani?Wapi?
😂😂Hii tabia ya kununua simu kwa kuangalia shape ni mbaya Sana. Kwa nini usitafute simu nzuri na brand inajulikana? Niwe mkweli tu hiyo brand siwezi kutumia.